Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Lakini wewe ni kama ulienda shule kukula na kuenda choo tu ila hukuenda kusoma. Sasa watu 14 ni sawa na watu milioni moja?
Sio sawa na watu milioni moja, lakini hao millions wanashikwa na njaa kila mwaka, hiyo huoni kama ni aibu kwa ecomic giant like kenya??, isitoshe hadi watu 14 wanakufa??? Ni aibu kama taifa, je Uhuru kenyatta alishindwa kutoa his own pocket money to buy some foods to save the lives of those poor innocent persons???
Wangejufa millions, tungesema nchi ilizidiwa lakini watu 14 wamekufa this is even a shameful thing.
Hata mimi licha ya umaskini wangu ningeweza kuwalisha hao watu 14 for months.
Shame on you shame on Kenyans.