How rich is Kenya?

How rich is Kenya?

Lakini wewe ni kama ulienda shule kukula na kuenda choo tu ila hukuenda kusoma. Sasa watu 14 ni sawa na watu milioni moja?

Sio sawa na watu milioni moja, lakini hao millions wanashikwa na njaa kila mwaka, hiyo huoni kama ni aibu kwa ecomic giant like kenya??, isitoshe hadi watu 14 wanakufa??? Ni aibu kama taifa, je Uhuru kenyatta alishindwa kutoa his own pocket money to buy some foods to save the lives of those poor innocent persons???

Wangejufa millions, tungesema nchi ilizidiwa lakini watu 14 wamekufa this is even a shameful thing.

Hata mimi licha ya umaskini wangu ningeweza kuwalisha hao watu 14 for months.

Shame on you shame on Kenyans.
 
Sasa unataka tuseme kwamba Kenya ni nchi masikini sana kwa sababu watu 14 walikufa njaa?
 
Sio watu 14 walikufa njaa tu bali mamilions ya Wakenya hupigwa na njaa kila.mwaka na wengine wengi kwa mamia hufa kwa njaa.

Ni tabia ya vyombo vya habari kuficha ukweli (censured).

Uchumi wote huo mlionao (mnaoturingishia) mmeshindwa kuweka mikakati ya kununua na kuhifadhi chakula.kwa ajili ya shida ya njaa inayotokea kila mwaka?? Kwa uchumi wote huo mnashindwa kununua chakula.cha kutosha kutoka Tz??
 
Ndio kawaida ya kingereza kuendelea kuwatesa Watanzania, few know the meaning of "Sub-Saharan Africa"
Even in Kenya, English is still a problem because not all Kenyans are able to speak in English.... Most of you people you speak vernacular languages.

Better us Tanzanians, Swahili is widely spoken up to 99.99% of Tanzanians they are able to speak Swahili correctly.

A piece of advice to you Kenyans.... Try first to fix your problem which is killing you everyday,that is "Tribalism"

I've been in Kenya and i know you well...for so many centuries, Luos are not in good terms with kikuyus...leave alone kalenjinis.

Once you are done with tribalism, then corruption here it comes...I have never seen a corrupt police officers like those from Kenya.... Everywhere corruption.

Because of corruption that's why the gape between poor and rich in Kenya is now very big....fix that too.
 
Ndio umesema nini haswa, unadandia na kuparamia...kwanza "gape" ndio nini....
Hizi hoja zinajadiliwa kwa kushirikisha ubongo, sio kuandika andika tu. Nyie huko hamna sifa zozote za kuweza kutushauri chochote, mpo hovyoo mnasindika kura na kufuta upinzani, yaani mpo mpo ilmradi siku ziende.
 
Go and work for what i said...
 
Sio watu 14 walikufa njaa tu bali mamilions ya Wakenya hupigwa na njaa kila.mwaka na wengine wengi kwa mamia hufa kwa njaa.

Ni tabia ya vyombo vya habari kuficha ukweli (censured).

Uchumi wote huo mlionao (mnaoturingishia) mmeshindwa kuweka mikakati ya kununua na kuhifadhi chakula.kwa ajili ya shida ya njaa inayotokea kila mwaka?? Kwa uchumi wote huo mnashindwa kununua chakula.cha kutosha kutoka Tz??
Mimi naona ni kama wewe unahisi wivu kwamba Kenya ni uchumi wa sita kwa
ukubwa Africa na wa tatu kwa ukubwa katika Sub-Saharan Africa. Hao watu 14 waliokufa na njaa wanakufanya uidharau Kenya. Endelea kuidharau Kenya.
 
Lazima udharaulike, inakuaje uchumi wote huo watu 14 walikufa njaa???.

Ni sawa na mtu tajiri wa pesa halafu nyumbani kwake watoto kila siku wanalia njaa na mtoto mwingine kafa kwa kukosa huduma ya hospital.

Sasa utajiri huo ni wa nini?? What good is the richness ? ??.

Kwa utajiri huo ni bora kuwa maskini.

Au uchumi wenu ni wa kafara, au hao watu wanaokufa kwa njaa kila mwaka ndizo kafara zenu??? An annual lives sacrifice.
 
Keyboard rich. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Unabweka nyuma ya keyboard na utajiri wako wa kusadikika.
With this kind of reply I'm sure you are one of the 28 million extremely poor people mentioned in the World Bank report
 
Before kenyans coming here arrogantly boasting their economic prowess in East Africa, they should, in the first place, address the issue of hunger and starvation and the Covid 19 in their country which has been a torment for many years.

Then what good is your economy you boast for while millions of your citizens die of hunger every year, if you are sane enough you have to ponder over those catastrophes you face before coming here boasting for stupor.
Ripoti zako zote zinaonyesha km bado mna maskini wengi kutuliko[emoji23][emoji23]
Sasa ya nn uhangaike
 
Mimi siijajigamba kwamba sisi ni matajiri laa hasha.

Nyinyi ndio mmekuja hapa na mnatamba kwamba Economy ya kenya ni kubwa, ya tatu in sub saharan Africa.

Mimi nikamuuliza huyo anayetamba na kuturingishia huo uchumi kwamba; Uchumi huo unafaida gani kwenu wakati kila mwaka mamilioni ya Wakenya hushinda njaa na watu kadhaa hufariki kutokana na hiyo njaa??. Kumbuka Chakula ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu. [Food is One of the three impotrtant basic needs of a humanbeing].

Tatizo la njaa na vifo kutokana na njaa kenya ni recurring, KILA MWAKA linatokea, sasa Uchumi wote huo mlionao vipi mnashindwa ku secure enough food na kutumia kipindi cha njaa???

Kazi ya uchumi wa nchi basically ni kuondoa dhiki za wananchi.

Yeye kakubali kwamba millions ya Wakenya hukumbwa na njaa na baadhi hufa kila mwaka lakini hajakubali kwamba ukubwa wa uchumi wenu hauna faida kwa jamii ya Wakenya mamiloni wanao suffer from hunger every year.
 
Maskini wengi wanaokula na kushiba kuliko matajiri wenu wengi (milions of them) who are hunger stricken and some of them die of hunger every year.
 
Kichachato labda hyo ndio itakua ni definition ya umaskini..
Lkn world bank wanawaelewa sana ukanda huu kw kutuwakilisha vyema
 
Mimi siijajigamba kwamba sisi ni matajiri laa hasha.

Nyinyi ndio mmekuja hapa na mnatamba kwamba Economy ya kenya ni kubwa, ya tatu in sub saharan Africa.

Mimi nikamuuliza huyo anayetamba na kuturingishia huo uchumi kwamba; Uchumi huo unafaida gani kwenu wakati kila mwaka mamilioni ya Wakenya hushinda njaa na watu kadhaa hufariki kutokana na hiyo njaa??. Kumbuka Chakula ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu. [Food is One of the three impotrtant basic needs of a humanbeing].

Tatizo la njaa na vifo kutokana na njaa kenya ni recurring, KILA MWAKA linatokea, sasa Uchumi wote huo mlionao vipi mnashindwa ku secure enough food na kutumia kipindi cha njaa???

Kazi ya uchumi wa nchi basically ni kuondoa dhiki za wananchi.

Yeye kakubali kwamba millions ya Wakenya hukumbwa na njaa na baadhi hufa kila mwaka lakini hajakubali kwamba ukubwa wa uchumi wenu hauna faida kwa jamii ya Wakenya mamiloni wanao suffer from hunger every year.
Kwhyo ni hutaki kuskia km kenya ndio economy ya tatu kw ukubwa sub saharan africa au unapinga?

Alafu eti unasema mambo ya ku secure food, lini nyinyi magu kagawa chakula bure chato..iwe wakati wowote ule hata wa drought
 
Back
Top Bottom