Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga
How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao
Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo
Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃) mwanamke anajeuri mwanamke anajiamini na kanapenda upinzani Atari na Hakana kabisa uoga wa vipigo nimejaribu kumfukuza kwangu njia zote zinadunda anasema eti Mimi ndo nimuachie nyumba kuliko yeye kutoka na wakati ni kwangu
Najiuliza how Hawa wenzangu wanaweza kabisa kutesa wanawake mpaka kufikia mpaka Level za kwenda kwao