antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Pesa, pesa, pesaHow wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu
Pesa, pesa, pesaHow wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu
Andazi ni kiazi😅
Ana nyuzi za kulia lia kibao , kuna moja wapo Canada na mke wake, andazi kama hatuoni mat,,ko yake , ni shule zimefungwa tunashuhudia mengi.Mapenzi hayajajali yeye ni andazi wala kiazi
Yanampiga yanavyoweza 😁
ID changamsha jukwaa hiiAna nyuzi za kulia lia kibao , kuna moja wapo Canada na mke wake, andazi kama hatuoni mat,,ko yake , ni shule zimefungwa tunashuhudia mengi.
Ndio hivyo blazaID changamsha jukwaa hii
Mia mia broNdio hivyo blaza
Jina lako la andaz lina uhusiano na hali unazopitia.Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga
How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao
Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo
Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃) mwanamke anajeuri mwanamke anajiamini na kanapenda upinzani Atari na Hakana kabisa uoga wa vipigo nimejaribu kumfukuza kwangu njia zote zinadunda anasema eti Mimi ndo nimuachie nyumba kuliko yeye kutoka na wakati ni kwangu
Najiuliza how Hawa wenzangu wanaweza kabisa kutesa wanawake mpaka kufikia mpaka Level za kwenda kwao
Yechu yechu blazaMia mia bro
Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga
How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao
Wanafanya fanyaje 😀😃😄 maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo
Nimeona Kamada wa jeshi (😀😃) mwanamke anajeuri mwanamke anajiamini na kanapenda upinzani Atari na Hakana kabisa uoga wa vipigo nimejaribu kumfukuza kwangu njia zote zinadunda anasema eti Mimi ndo nimuachie nyumba kuliko yeye kutoka na wakati ni kwangu
Najiuliza how Hawa wenzangu wanaweza kabisa kutesa wanawake mpaka kufikia mpaka Level za kwenda kwao
Mwanamke ana masikio matatu, mawili juu na moja chini. Kama ukishindwa kulizibua la chini vizuri, hayo mawili ya juu hayawezi kukusikiliza kamwe.
Nyumba ambayo kitanda hakitingishiki vizuri basi haina amani. Tingisha kitansa vizuri na usimpe attention kubwa, kama moyo wake upo kwako atakupa attention yake.
Wengi hawajui kama kula na kuvaa na zawadi havitoshi kutuliza amani ya nyumba. Na unaweza kuwa sawa kiuchumi asitulie kama bakora hapati za kutosha, atakuigizia maisha tu na akikuzoea utaona rangi zoteSahihi.
Mwanamke anakuheshimu kwa mambo makuu mawili;
1. Unamkaza anatosheka vilivyo.
2. Anakutegemea sana kiuchumi.
Moja kati ya hayo ukiwa nayo mwanamke hawezi kukusumbua. Hata uwe na sura personal