Kweli wewe ni andazi. How nyie wenzangu.... andika kiswahili tu...Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga
How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao
Wanafanya fanyaje πππ maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo
Nimeona Kamada wa jeshi (ππ) mwanamke anajeuri mwanamke anajiamini na kanapenda upinzani Atari na Hakana kabisa uoga wa vipigo nimejaribu kumfukuza kwangu njia zote zinadunda anasema eti Mimi ndo nimuachie nyumba kuliko yeye kutoka na wakati ni kwangu
Najiuliza how Hawa wenzangu wanaweza kabisa kutesa wanawake mpaka kufikia mpaka Level za kwenda kwao
Pole sana sasa umefika ile hatua ya kujiuliza ila pale mwanzo haukuwatafuta wakubwa ukawauliza wakakupa ABC zote, endelea kukomaa akiliNajiuliza how Hawa wenzangu wanaweza kabisa kutesa wanawake mpaka kufikia mpaka Level za kwenda kwao
Watoto ndo shida Baba nikisitisha watoto wangu ndo watatesekaSitisha matumizi aina zote. Kuanzia ss.
Kazi ni kipimo cha utu
Hata kama ni .....uuu..ni chaguo lakooo...Uyoo ndio chaguoo lakoooo, chaguoo lakooo
Hio nyumba ulijenga nae au alikukuta nayo? Na vp kuhusu mahitaji ya kila siku mnashare au wwwe ndio provider? Mwisho kabisa umezaa nae ?Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga
How Hawa wanaume wenzangu wanafikia Level za kutesa wake Zao au kuwa control na wengine wanashindwa kabisa na matukio ya wanaume wanaamua kwenda kwao
Wanafanya fanyaje πππ maana Mimi mwezenu tayari nimedandia mtungi wa vibwengo
Nimeona Kamada wa jeshi (ππ) mwanamke anajeuri mwanamke anajiamini na kanapenda upinzani Atari na Hakana kabisa uoga wa vipigo nimejaribu kumfukuza kwangu njia zote zinadunda anasema eti Mimi ndo nimuachie nyumba kuliko yeye kutoka na wakati ni kwangu
Najiuliza how Hawa wenzangu wanaweza kabisa kutesa wanawake mpaka kufikia mpaka Level za kwenda kwao
Mkuu.Moja kati ya jambo ambalo najiulizaga