How wenzangu munaweza ku control wanawake katika ndoa zenu nipeni mbinu

Jina lako la andaz lina uhusiano na hali unazopitia.
 

Kama huwezi kujidhibiti huwezi mdhibiti mtu mwingine

Mkeo huwezi m-control kama wewe mwenyewe haujiwezi, hauna ubavu, upo legelege, huwezi jizuia.

Hakuogopi kwa sababu huna uanaume ndani yako. Ukishakuwa mwanaume automatically mkeo na familia yako itakutii
 

Sahihi.

Mwanamke anakuheshimu kwa mambo makuu mawili;
1. Unamkaza anatosheka vilivyo.
2. Anakutegemea sana kiuchumi.

Moja kati ya hayo ukiwa nayo mwanamke hawezi kukusumbua. Hata uwe na sura personal
 
Sahihi.

Mwanamke anakuheshimu kwa mambo makuu mawili;
1. Unamkaza anatosheka vilivyo.
2. Anakutegemea sana kiuchumi.

Moja kati ya hayo ukiwa nayo mwanamke hawezi kukusumbua. Hata uwe na sura personal
Wengi hawajui kama kula na kuvaa na zawadi havitoshi kutuliza amani ya nyumba. Na unaweza kuwa sawa kiuchumi asitulie kama bakora hapati za kutosha, atakuigizia maisha tu na akikuzoea utaona rangi zote
 
Sasa mwanajeshi ni wa kuoa kweli!! Huyo anagongwa na wanajeshi wenzake tena maboss unless awe havutii yaani ni ngumu kumla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…