Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani Luther, alikuwa amemalia PhD yake mwaka huo na ilikuwa hadi December 1955 (5th to be precisely), hata hivyo at the time alikuwa bado hajadevelop nadharia yake ya usawa wa watu wote kama alivyofanya Mwalimu earlier that year. Ilikuwa ni 1959 ndipo Luther alipoanza kupata mwelekeo ambao unamfanya akumbukwe sana leo hii.
Mwanakijiji
Unaweza kunitajia ni nchi gani ulimwenguni ambayo haina ubaguzi? Naomba unipe nchi moja tu.
Blacks aren't sacrificial lambs?
So what?? It is still wrong and it doesn't justify it
Ok, nilidhani kwa vile mgomo wa Birmingham ulianza mwaka huo huo...na mwaka '57 alikuwa mmoja wa wageni waalikwa huko Accra kwenye sherehe za uhuru which means tayari alikuwa ameshajijengea jina!
Hata hivyo...nadhani wote walitoa hiyo nadharia kwa Gandhi...na wengineo kama akina W.E.B. DuBois, Garvey, n.k.
Wrong and justfy to whom?
Ninachosimamia ni kwamba opportunities iwe kwa wenyeji wenye uasili, yaani wabantu...
siwapingi mnaounga mkono kwani ni haki ya kila mtu kuamini anachokiwaza na kusema anachokiamini.
Nakubali kuwa kosa tumelianza kwenye siasa na sidhani kama tutaweza kujisahihisha...
Labda niseme kwanini ninapinga, Ni kwa vile ambavyo ndugu zetu hawa waasia (wahindi) walivyo-wabaguzi huko kwao na jinsi wanavyothubutu kuendesha maisha ya kibaguzi hata ndani ya nchi yetu. Sio kwamba naongea nadharia ila hebu tafiti na unieleze kuwa ni watanzania wangapi ni waumini wa dini za kihindu, sio kwamba hawapendi ial Dini inawabagua wazelendo kushiriki, Pia hebu fuatilia namna ambavyo waasia hawa wanavyoendesha viwanda na biashara zao hapa nchini. Ninawafahamu baadhi ya watanzania wanaofanya kazi kwa wahindi na walah malalamiko ni jinsi wanavyobaguliwa is shame and sorrow....
Jeee, mtataka niunge mkono??? je niunge mkono kwa kipi au kwa uhalali upi????
Naomba kuungwa mkono
,,,Hakuna anayetaka uunge mkono!
Tupo wengine tunahitaji mabinti zetu wawe Miss France, Miss UK, Miss Germany Miss USA, Miss Canada etc. kwa hiyo ni lazima tupige kona zote ili kuhalalisha lolote lile na iwe. Kwa hiyo basi kila mtu akili mkichwa.
Jamani ningeshauri kuanzishwa kwa thread nyingine inayozungumzia Ubaguzi rangi na Ukabila Tanzania.Kwa nini ninashauri hivyo?
1)Tanzania tunayo matatizo ya ubaguzi wa rangi hasa
kati ya waasia hasa jamii ya wahindi na ile ya watanzania
weusi.Suala la Richa ni punje tu juu ya mambo yanavyosokota
chini kwa chini katika jamii yetu na wote tumeshuhudia
hilo!.Kwa hiyo naona si vibaya kuwa na thread nyingine
ambayo itaweza kulijadili na kulitafutia
ufumbuzi au kupendekeza majibu.
2)Tuichukulie Tanzania kama Tanzania na siyo nchi kama
Marekani au South Africa na kwingineko.Nchi yetu ina
utamaduni na historia tofauti na nchi nyingine. Kwa mfano
Nchini Marekani suala hili walilijadili na kulitafutia
ufumbuzi karibu miaka arobaini iliyopita ingawa nao haikuwa
rahisi,ilibidi wamwage damu ndipo kieleweke!na mpaka leo
bado wanaendelea kuondoa kasoro zilizobaki ingawa bado kuna
maeneo mengi ya kuyafanyia kazi.Nchini Afrika kusini ni
kweli kwa nadharia tu kuwa ubaguzi umekwisha ila nao bado
mambo si shwari.
3) Kuna baadhi ya wenzetu ambao wanatumia suala la Richa ili kutaka kuondoa au kuipumbaza jamii kuwa hakuna ubaguzi ambao waasia hasa wa jamii ya wahindi wanaoufanya kwa wenzao weusi.Kila mara watu wanapotaka kujadili suala la ubaguzi wa rangi,hawa wenzetu wanalipotosha na kuweka lile la ukabila au la weusi juu ya wahindi.Sasa nadhani thread hiyo inaweza kuyachambua mambo hayo kwa KINA ingawa yote yanaelekea kuwa na dhana moja.
4) Tanzania bado ina matatizo ya ukabila,ingawa mambo haya yanaendelea kupungua siku hadi siku kutokana na jinsi watu wa makabila mbalimbali yanavyojichanganya pamoja na kujiona ni taifa moja.Hali hii si hivyo kwa ndugu zetu wahindi,bado ni taifa la wahindi ndani ya taifa lingine likiwa na passport ya Tanzania. Hii ni tofauti na wahindi walioko marekani ambao hujichanganya na wengine bila ya matatizo yoyote!! mifano tunayo.
5)Mzee wetu Mwl.Nyerere alipambana sana na ukabila na ubaguzi, ingawa naye alielekea kuwaadhibu weusi kuliko wahindi pindi wanapofanya makosa hayo.Karibu hotuba zake zote tangu miaka ya sitini alifokea sana weusi walipotaka kubaguana wenyewe kwa wenyewe au kuwabagua wahindi au waasia lakini sijawahi kuona pale alipodiriki kusema kuwa jamii ya wahindi inakosea inapoamua kujitenga au kuwabagau au kuwanyanyasa wenzao weusi!.Tafadhali mwenye mifano naomba awasilishe hapa tuone!
Ninaomba tu kuwasilisha!
Wembe.
Wembe, huhitaji ruhusa kuanzisha mada kuhusu Ubaguzi.. ile ya Ukabila ipo na ni mojawapo ya mada motomoto za JF. Na kama ukiangalia post zangu tangu mwanzo wa hili nilisema kama mnataka tuzungumzia kujitenga kwa wahindi, au ubaguzi wa aina yoyote ile anzisheni mada hiyo, lakini msimnyime au kumkatalia Richa ushindi wake wa wazi na dhahiri! Kama umekubali kuwa Richa anastahili kuwa Miss Tanzania kama mabinti wengine wowote wale wa Kitanzania, basi tutakuwa tumefikia mwisho wa mada hii halafu twende kwenye suala la Wahindi kujitenga na unyanyasaji wao wa watu weusi, utashangaa kuwa tuko karibu sana kwenye mtazamo kwenye hilo.