HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

ni levels za kupoteza mda
Hapana sio kupoteza muda bali ni sehemu ya makuzi, wanatakiwa baada ya form 5 na 6 wanaenda hivyo vyuo vya kati ndipo wanaweza kwenda chuo kikuu, kutoka form 6 kwenda chuo kikuu ndio maana wanakuwa weupe huko makazini, umri ni mdogo sana.
 
Mwajiri makini huwa anaajiri kwa kutazama consistency ya muhitimu.

Mfano big four auditing firm PWC, KPMG,EY

Mfumo wao wa kuajiri huwa hautuzami sana maksi za chuo kikuu.

Huwa wanatizama sana A level na O level performance. Na pia wanatizama combinations ulizosoma

Wanapenda sana waone A za physics na A za advance Mathematics na A za accounting form 6.

Hayo masomo matatu ni njia nyepesi sana ya kumjua mtu makini.

Digrii kwao sio ishu hata uwe na GPA ya 5 kwao hawakuamini kama hayo masomo matatu huna outstanding performance
 
Ulishawahi kuona zimamoto akifeli? Hiyo ndio elimu ya chuo wale zimamoto wengi hawapo active na masomo ila ikikaribia mitihani wanakesha kusolve past papers zote... wakiingia kweny paper kama wanahamisha tu fasta tu wanapiga GPA za juu.

Hili suala la kukesha sijwahi kulielewa kabisa kabisa mpaka sasa.
 
Kuna mhasibu mmoja anashindwa andaa balance sheet eti kisa hana computer wakati shuleni kafanya bila computa
 
Misingi ya kujitegemea mizuri kwa uwezo wa mwanafunzi ipo O-level, hata vyuo vingi kwa level ya degree wanaangalia uwezo wako wa ordinary level kweny Math na English language.

Mifumo ya chuo hawaangalia kwa sababu kuna ufundishaji na mitihani tofauti , uniformity ipo O level & High level kwa sana.
 
Fani zote tu wanachuo wengi wanafaulu kwa kutoa ngono au fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…