HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

Shida waajiri wengi wana expectation kubwa, job descriptions page nzima ila mshahara laki 5 lazima wapate vilaza, majukum yakiwa mengi na mshahara uwe mwingi. Kuna sehem nilishangaa wanataka mhasibu mwenye uzoefu miaka 5 na cpa na jd page nzima ila mshahara laki 6 au 8, hapo lazima upate trash, ukiweka vigezo vingi na experience kubwa bas mshahara weka angalau milioni 2 hadi 4 uone kama utashindwa kupata best performers
 
Haya mhitimu
 
Aya ndiyo matokeo ya serikali awamu ya nne kupunguza maksi ili Wanafunzi wafaulu wengi chini ya mfumo wa mchongo wa GPA!
We are reaping what we sowed!!
 
Ni wakati tuajiri kutokana na uwezo wa mtu na sio elimu ya mtu
Uwezo wa mtu unapimwa vip? Hayo mambo hayapo kwa vile dunia haiwezi kukubali ukweli ,elimu na utendaji kazi ni vitu tofauti kabisa.

Utendaji kazi unaambatana na vitu kadhaa ndio maana kweny utumishi wa umma kuna code of conduct.


Utendaji wa kazi kuna creativity, diligence, consistency , persistence,heshima ,uwezo wa kujifunzi ,kuendana na mazingira ya kazi pamoja & kuwahi kazini ....Watu wanakosa maadili ya kazi ndio tatizo
 
Kwa MTU ambaye hasomi vitabu tofauti na vya lecturer hawezi kuwa smart Kwa level kubwa.

Elimu Tz ni nadharia ambazo hazina mwelekeo hivyo lazima ujiongeze kuikuza career yako Kwa kusoma mambo tofauti na ya lecturer ili kuwa smart .


Hata hao HR hamna kitu
 


Unajua ni ngumu Sana kutambua na kuujua uwezo wa MTU ikiwa wewe haupo smart vya kutosha.

Yaani sio rahisi Akili ndogo ikaitambua akili kubwa

Sasa hao HR wanabahatisha tu Ila they know nothing
 
U
Unaweza kushangaa HR wana mamlaka ya ku'shape wafanyakazi ila nao wanalalamika sasa kazi yao ni ipi?

Nchi hii ina watu wengi hawajui majukumu yao wamebaki lawama tu.

Nilifanya kazi mwaka 2016 taasisi fulani jina kapuni maana ni ya hovyo mpaka leo ,nakuambia miezi 8 mko ofisini hakuna training wala nn ,kazi ni kuanza saa 2 mpaka 12 ...Hakuna refreshment ya aina yoyote ile wala kutuliza akili kuanzia j3 mpaka jmosi.

Hakuna timu ya taasisi japo ingawa ni Taasisi ya serikali, hakuna training ila kazi ni nyingi kila siku unajza fomu kama sita ,ukirudi mtu umechoka .. Training ndio wamefeli wanadae eti bajeti yao haitoshi.
 
Duuh!!! Inafikirisha Sana

Watu ambao wapo serikalini most of them wanaamini wamefika mwisho Wa maisha yao ya kazi.

Wanabweteka hawana consistency ,persistency and credibility . they just work only to feed their stomach and not to up grade their careers
 
Nimeshngaa mwaka mzima kuna training moja tu ,yaani hakuna field wala wala nn !

Nimeenda taasisi nyingine aisee nimekuta wapo smart watu wana maslahi mazuri , training kutwa ,safari mpaka mtu unapata uzoefu wa kuandaa ripot za safari ila huko mwanzo miezi 8 ina maana training kwa mwaka ni mara moja.
 


Aaah inafikirisha kweli mkuu Ila tuendelee kuonyesha utofauti
 
Pia Kuna mabosi ni vilaza. Mnajadili hoja konki, badala ya bosi kutoa majibu mujarabu Kwa mtoa hoja, yeye (bosi) anaanza kumshambulia mtoa hoja (personal attacks).
Yaani badala ya kushambulia hoja, yeye (bosi) anamshambulia mtoa hoja. Lol [emoji114][emoji114]

Wahenga wanasema "Never outshine your boss"
 
wahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account
90% ya waajiriwa serikalini ni weupe pee white elephants kabisa!
 
Nikweli kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…