HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

Hakika... Sasa unakuta boss ni mujuaji kupita maelezo... Unaamua kufanya kimazabe ili mwisho wa mwezi mambo yasiwe mengi
Kwani hao ma HR wao walienda kwenye ajira wakiwa wanajua kila kitu?? Ndio maana kuna orientation na mentoring na coaching to new employeee. Tusisahau tulipo anzia. Wajiri wapya tuwaelekeze kazi kwa uvumilivu kama na ye alivyovumiliwa huyo HR
 
wahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account
"Creditor" control account,...... 96% wahasibu wa halmashauri hawajui wanachokifanya....
Upo CAG,COASCO au shirika gani la ukaguzi maana tunaweza kuwa na file lako.
 
Muulize hao vijana wametoka chuo gani? Siyo elimu kuwa sijui nini, ni suala la vyuo kuchipuka bila viwango. Lakini huyo HR mwenyewe ana uelewa gani? Tusijekuiwa tunajadili maoni ya kiwango hovyo. Siyo wmmoja wa wale wa Mzumbe? alikosoma na fulani fulani?
 
wahitim wa shahada kwenye fani ya UHASIBU na KODI niweupe kama wanafunzi wa kidato cha nne
Pia 96% ya wahasibu wa Halmashauri hawajui wanachokifanya.....naongea kama MKAGUZI hasa kuhusiana na Creditor control account

Mhasibu awe na CPA over hawa wengine sioni utofauti na mtu aliyesomq sociology. Mhasibu anashindwa Dr & cr. Hata hawa wenye CPA wengi hawawezi kuandaa Financial statements
 
Watafute hela tu
 
Unatupiga sio?
Ila wafanyakazi wengi ni weupe na sio tu graduates hata hawa waliokaa maofisini muda mrefu ni TATIZO
Boss wewe sijakuweka. Ila ndio ukweli huo. Mnajali sana mslai yenu na si ya watanzania wenzenu. Maana ninyi ndio wa kwanza kushauri tupu guziwe mishahara ili muonekane mnajali kampuni
 
Aya ndiyo matokeo ya serikali awamu ya nne kupunguza maksi ili Wanafunzi wafaulu wengi chini ya mfumo wa mchongo wa GPA!
We are reaping what we sowed!!
Tatizo lilianza 2012 kuna waislamu waliandamana wanaonewa
 
Sasa ka mtu amemeza maswali na majibu akafaulu wategemea maajabu yapi toka kwake?
 
Kuna HR mmoja hivi alikuwa mnyanyasaji balaa,hee kumbe cheti feki!saa hii anaendesha toyo.
 
Hatuwezi kuwa serious na kutengeneza wataalamu wa fani mbali mbali ngazi ya degree na masters sababu hakuna pakuwapeleka wakihitimu.

Hata PHd tu wamebakia kuwa chawa maana PhD haipewi tena ile heshima yake ya mtu kuwa dokta.
 
Mhasibu awe na CPA over hawa wengine sioni utofauti na mtu aliyesomq sociology. Mhasibu anashindwa Dr & cr. Hata hawa wenye CPA wengi hawawezi kuandaa Financial statements
Tunaye mmoja yuko hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…