umejuajeKadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.
Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
Bad enough hyo yalaiti wamerudia upyaNiliacha kuangalia juakali pale Prof kamchana Frank kuhusu Maria. Ilikuwa jumapili ya tar 12.
Tar 13- nikawa mbali na Dstv
Nimerudi jana⦠eti ndio nakuta Frank yuko Hosp!!
Ina maana Lamata alishindwa kuimaliza hiyo Ep last week?
Na kuna ile Yalaiti.. ilianza vizuri⦠mara karibia wahusika wote wakafulia, wakarudi vijijini. Nikaacha kuangalia
Wanaboa sana⦠ndio maana wengine wako busy na channel no 158Bad enough hyo yalaiti wamerudia upya
Hahahahhahahaumefanya research yako kwa sample ipi mkuu maana huku kwetu ileje Huba inawika watu hatulimi tunashinda kuirudiarudia hyo jua kali ndo nini
Si wengine tupo bize na varshita, njoro wa uba, @hubaloo estateWanaboa sana⦠ndio maana wengine wako busy na channel no 158
Utacheka sana wakikwambia sababu ya kurudia ni maoni ya watazamaji. Wanasema ndio tamthilia ilikuwa na watazamaji wengi sababu ya uwepo wa Wakenya wawili, waliongeza mvuto na sasa watazamaji wengi wameomba irudiweππ na watazamaji wenyewe ndio sisi tumashangaa tuliomba lini hilo jambo DepalBad enough hyo yalaiti wamerudia upya
Mbona sie hatujaomba jamani ππUtacheka sana wakikwambia sababu ya kurudia ni maoni ya watazamaji. Wanasema ndio tamthilia ilikuwa na watazamaji wengi sababu ya uwepo wa Wakenya wawili, waliongeza mvuto na sasa watazamaji wengi wameomba irudiweππ na watazamaji wenyewe ndio sisi tumashangaa tuliomba lini hilo jambo Depal
Unawaambia hii Yalaiti mbona haikuisha na mmeanza marudio, wao wanakomaa kuwa ilifika mwisho. Mwisho si ni lazima neno MWISHO litokee na story yenyewe iwe imekwisha?? Yaani mfano leo baadae tuambiwe JUAKALI imefika mwisho.Mbona sie hatujaomba jamani ππ
Nilikuwa naipenda.. mwanzo ilikuwa inaeleweka. Mara ghafla watu wamefulia wotee.. nikaanza kushangaa, mara marudio. Nikaachana nayo.
HAHAHAHAHAZote ni za kipumbavu ila bora upumbavu wa JuaKali
Njoro wa uba unyama sana mule, kila siku story mpya na hazichoshi. Hii kitu siwezi kuikosa.Si wengine tupo bize na varshita, njoro wa uba, @hubaloo estate
Hamia 158 full kuenjoy πWanaboa sanaβ¦ ndio maana wengine wako busy na channel no 158
Ni nzuri.. sasa wanatukomesha sie tunaongalia Huba. Basi inabidi uwe 50/50 maana zinaonyeshwa muda mmojaNjoro wa uba unyama sana mule, kila siku story mpya na hazichoshi. Hii kitu siwezi kuikosa.
SitakiHamia 158 full kuenjoy π