HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ walisema imeisha? Sasa iliishia kwa wapi
 
Ni nzuri.. sasa wanatukomesha sie tunaongalia Huba. Basi inabidi uwe 50/50 maana zinaonyeshwa muda mmoja
Mm hua naangalia njoro wa uba na hiyo JuaKuchoma, hizo zingine sijui huba sitaki kupata kisonono cha macho.
 
Sitaki
Sijamalizana na Juakali
Lazima nijue hatma ya Frank na Maria
Femi na Luca
Profesa na dhambi zake ๐Ÿ˜‚
Luca na familia yake na yule demu pale ndani kwao ndio watu pekee wanaonifanya niangalie JuaKuchoma, ila hao wengine naona wananipotezea muda.
 
Uhshauri wa bure Huba wamtafute UMUGHAKA wayajenge nae wakiendeleze kipande Cha JB huwenda kikawa Cha kusisimua Zaidi..kuliko kimuacha vile alivyo atamaliza kuku wa jamaa pale kijijini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni mimi tu ndio nafatilia TAUSI[emoji52]

Tumefikia sasa Mzee Kasri anamtafuta mwanae Siti kapotea kumbe yupo kwa mchumba wake Mjuba. Huku Tina anaenda kwa Kalumanzila aiseee anarogwa mtu
 
Sitaki
Sijamalizana na Juakali
Lazima nijue hatma ya Frank na Maria
Femi na Luca
Profesa na dhambi zake ๐Ÿ˜‚
Hamia kwa wakenya, wako vizuri hawana ubishoo wala kujichubua๐Ÿ˜‚

Kuna Pete na Kina story zinaeleweka na very interesting ๐Ÿ˜
Njoro wa uber ndio vituko kama vyote
 
Kuna Danga waliirudia aisee inaboa
 
Hamia kwa wakenya, wako vizuri hawana ubishoo wala kujichubua๐Ÿ˜‚

Kuna Pete na Kina story zinaeleweka na very interesting ๐Ÿ˜
Njoro wa uber ndio vituko kama vyote
Hujaniiba bado 160 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mi kuna kipindi nilikuwa naenda sebuleni kuangalia taarifa ya habari saa mbili nakuta wanaangalia ile ya shambani, nikasema ngoja niwaunge tukae kama familia tuenjoy, sema niliipenda kiaina yule mzee na wake zake kama wote.
 
Script writer wa Huba ameishiwa. Wote zamani walikuwa successful business men/women na sasa ushirikina na ulevi ndiyo fashion. Unreal romantic scenes. Grow up Huba.
 
Hahahahaaa
 
Script writer wa Huba ameishiwa. Wote zamani walikuwa successful business men/women na sasa ushirikina na ulevi ndiyo fashion. Unreal romantic scenes. Grow up Huba.
Rotation ya wapenzi tu hahahaa
 
Uhshauri wa bure Huba wamtafute UMUGHAKA wayajenge nae wakiendeleze kipande Cha JB huwenda kikawa Cha kusisimua Zaidi..kuliko kimuacha vile alivyo atamaliza kuku wa jamaa pale kijijini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ