HUBA vs JUA KALI: Tamthiliya ya Huba wamekosea wapi?

Mi nimeamua kuwa nalipa kifurushi cha 10,000 tu. Unalipa 23,000/= unaishia kuona njiwa wa kuedit anapaa.
 

DSTV wanapata subscribers wapya kila siku nadhani wanafanya hivo ili wale wapya wakliojiunga nao wapate nafasi ya kuziona hizo tamthilia wanazozirudia. Sema nawashauri ni bora wangekua na channel kwa ajili ya tamthilia na movies za zamani tu basi. Au channel ya POA ndo ingeonesha za zamani tu .
 
Sometimes huwa wanasema hivi, ila mawazo yao ni ya kijinga kwa sababu subscriber mpya halalamiki kutokuona kitu kilichooneshwa wakati yeye sio subscriber, na ni ujinga kuwajali subricer wapya kulikp kulinda wateja ulionao tayari.

Mteja mpya anaanza kuangalia vitu pale alipojiunga, sio mtoa maudhui umuonee huruma na kumkadiria kuwa anatamani vya zamani. Huu ni wizi, TCRA wamelalamikiwa ila wanaona poa, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
 
ila we jamaa 🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huba hamna kitu kbsa hii Jua kali ilikuwa kali Mwanzoni ila saivi sijui nini kimeikumba yani Dstv tuliacha kulipia karbia Miezi minne nyuma ila tumekuja kulipia mwezi huu na cha ajabu ni kama tumeikuta ipo pale pale tu tulipoiacha,... Yani hizi Tamthilia za kibongo ni Uozo mtupu.
 
Huba naipenda sana kibibi ananifurahisha sana sana

Af kuna kitimutimu da zu na baba juma dah huwa nacheka mpka nalia

Nikitoka hapo naangalia ya walimwengu na bigbrother siku imeisha ivyo
 
Yaani mchezo upo Toka mwaka jana mwezi wa saba hadi leo?
Ni Isidingo??
Hakuna mchezo hapo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Zahanati ya kijij nzuri sanaa angalien
Abdul anakimbiza hadi sasa hakuna aliyemkamata

Hii ya kosa Moja natamani hata waifute hata Sasahivi.


Umeona Jay anavyomfundisha Naa kuimba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti Malizia Hajaiii,weka mkia mbele[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bi Ubwa ni bonge la Comedian yule mama
Hadi sasa anakimbiza[emoji91][emoji23]

Akifuatiwa na Bi Star na familia yake akina Kimbembe na Chapicho[emoji1787]
Mama ndiduyonmkorofi wale nao dah hiwa sichoki kuangalia ila niubwa namkubali sana

Juzi kaenda na nguo kufua
Af kuna yule mwenye kipala nina Mungu mpaka nimeuchukua msemo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Abdul anakimbiza hadi sasa hakuna aliyemkamata

Hii ya kosa Moja natamani hata waifute hata Sasahivi.


Umeona Jay anavyomfundisha Naa kuimba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti Malizia Hajaiii,weka mkia mbele[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijaangalia leo mpaka marudio kesho
 
Kadri ziku zinavyokwenda watazamaji wengi wanaipotezea tamthiliya ya HUBA na kuelekea nyingine hasa Jua Kali.

Huba wamekosea wapi? Je, hawana uhalisia - tamthiliya nzima hakuna role models, haireflect maisha au?
Ramata habari nyingine. Ramata ni director mzuri kwanza anajua kucapture emotions na facial expressions za wahusika.
Unajua kuna vitu vidogo ndivyo vinafanya movie iwe kali. Kwa mfano demu mkali anateremka kwenye gari upepo unapuliza nywele zinapepea hizo huwa ni za kukuandaa kuwa ni mkali balaa.
Ranata anajua hilo ukitazama shot zake hasa kwenye facial expression za wahusika wakiwa na furaha au huzuni you feel it.
Halafu story yake complicated lakini ina make sense.
Mwandishi wa huba kachoka hadi story ina jicontradict.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…