Barnabas Mashamba
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,154
- 3,144
Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19
Hubiri langu la kufafanua andiko kuu.
Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono mmoja wakati lango la vita halijafungwa.
Hubiri hili limeletwa kwako nami
Barnabas Mashamba
Mhubiri mkuu wa taifa.