nina zaidi ya mwaka niko ttcl, labda kwako. Kwangu ni poa kabisa.Ikifika usiku utaomba pooo hiyo GB 3.5 inaenda bure
wewe si unakaa Postambona mimi natumia huu mtandao mwaka sasa wana bando nzuri tuu na hata speed ya net iko poa sana, labda nje ya mji huko,
Na haujawahi kunigomea popote, vocha huwa narusha kutoka Voda to tpesa na mambo ni mswano tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii menu ipi?Vocha unanunua kwa tigo pesa.
Kwangu uko poa tu naweza jiunga siku gb 4 shilingi 1000
Labda tatizo ni kukisekana kwa network tu maeneo mengi.
*148*30#
Ukitaka laini ya chuo ni lazima Uwe na kitambulisho Cha chuoTTCL wanatumia vitambulisho vya Chuo badala ya NIDA?,sijaelewa kidogo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima.wabongo si unatujua magumashi lazima yawepo! watu hawajafika hata darasa la 7 ila wana laini za chuo kama kawaida tuUkitaka laini ya chuo ni lazima Uwe na kitambulisho Cha chuo
zantel ni cheap na boraNiliitupa nikahamia Zantel
Unapiga COSTUMER CARE leo wanapokea simu keshoHoja zako sio za msingi mkuuu mbn mimi natumia sana TTCL
Kweli vocha hazipo lakini unaweza kununua kupitia mpesa , au kwenda max malipo kuanzia muca wa jero unapata
Ila customer care wako ovyo ,pia wapo too slow sana kujibu na kupokea cm
sent from toyota Allex
Mbona unanicheka mkuu?
Lazima tusapoti vya nyumbani.Hakuna laini yenye unafuu tz , ni kwenda nazo hivyo hazieleweki unahamia halotel utakutana na vimbwanga vya huko .
Mm naipenda ttcl Ila ndo ipo slow hivyo tunabembelezana nilikitoka nje network haikamati .
Voda mb ndo hazikai na ipo fasta ,Tigo vifurushi ni bei ,Airtel sijui nisemaje hawapo vizuri internet kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app