Labda wameelemewa na watejawakati mwingine ukituma msg haziendi,mpaka u resend zaidi ya mara tano au zaidi ndo ikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
wakati mwingine ukituma msg haziendi,mpaka u resend zaidi ya mara tano au zaidi ndo ikubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo poa kivipi wakati watu hakuna internet saa hizi toka saa kumichuki yako hujaificha
mimi ni mtumiaji na hiyo ishu imeisha
tatizo lao kubwa ni taarifa hawatoi ila kwa sasa ipo poa