Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
- Thread starter
-
- #161
Kupata vocha za TTCL ni sawa na kupata ajira.Aisee hili shirika letu linahujumiwa si bure, haiwezekani wapeleke gawio kwa JPM huku wakijua kabisa kuwa minara yao haitoshi , vocha hazitoshi mji mzima, wanapitwa hadi na watoto HALOTEL na AIRTEL
Ndio maisha yangu mkuuJamaa katoka Tegeta kwenda Makumbusho kununua vocha ya 500 [emoji13][emoji13][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote maisha mkuuTena anaenda makao makuu hiii nchi tunawatu waajabu sana
Hawa jamaa nimevutiwa na kitu chao cha UNI PACKAGE yaani Tsh 5000 unapewa Gb 5 mwe,i.Hata mimi ningejua umeenda kuomba kazi! Manetiweki yote haya we umeona uende ttcl!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee unanunuaga ya Tsh ngapi?We nawe unafunga safari kwenda kununua vocha ya 500?
KumbeeeHuyo jamaa,anamiriki hisa,kampuni ya smile,
Sasa anahujumu shirika ili kampuni yake ipate kazi ya kusambaza mtandao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nifikishe huu ujumbe pale Jumba JeupeHuyo jamaa,anamiriki hisa,kampuni ya smile,
Sasa anahujumu shirika ili kampuni yake ipate kazi ya kusambaza mtandao,
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa wewe unajua umbali wa anakoishi hadi makao makuu?Tena anaenda makao makuu hiii nchi tunawatu waajabu sana
We ndio umejiona Una AKILITena anaenda makao makuu hiii nchi tunawatu waajabu sana
Kama Vocha ya Jero haina kazi ingekuepo ??Vocha ya 500 utaifanyia nini?
kweli vyuma vimebana !!!Kama Vocha ya Jero haina kazi ingekuepo ??
Usiku hiyo 500 inakupa GB 2 saa 6 mpaka 12 asubuhiVocha ya 500 utaifanyia nini?
We ndio umejiona Una AKILI
Amekwambia vocha mtaani hazipo
Aende wapii ?? Au kwenu Mnazo ??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Buza mpaka Posta nauli ya kwenda na kurudi jumla 800Asa wewe unajua umbali wa anakoishi hadi makao makuu?
Ikikwama wakati unatuma salio kwenda T PESA utasaga meno wallahSitakagi tabu naweka pesa M-PESA nanunua vocha bila makato. Laini ya chuo full kuji-BOOM-isha