Huduma ya RITA inatia mashaka, nawashauri wajitathimini

HII KWELI KABISA
Wamekosea hadi cheti cha mtoto msemaji mkuu wa serikali, yaani ikitokea kiongozi akaita watu wenye malalamiko juu ya hawa viumbe embu awatembelee pale RITA ni hovyo hovyo tu
 
Wamekosea hadi cheti cha mtoto msemaji mkuu wa serikali, yaani ikitokea kiongozi akaita watu wenye malalamiko juu ya hawa viumbe embu awatembelee pale RITA ni hovyo hovyo tu
pafumuliwe pale waletwe watu wapya, waliopo wanafanya kwa mazoea
 
kuna haja kubwa ya serikali kupitia tena taasisi hii,wananchi wanateseka sana.
 
Uko sahihi kabisa,

Mimi mwanangu ana vyeti vitano, yaani toka alivoomba mara ya kwanza wakakosea mara 4 ndo ya tano kikaja kiko correct.
 
Uko sahihi kabisa,

Mimi mwanangu ana vyeti vitano, yaani toka alivoomba mara ya kwanza wakakosea mara 4 ndo ya tano kikaja kiko correct.
Hatari tupu
 
Na sana sana ni wadada ndio wenye changamoto kubwa ukimkuta asubuhi ofisini kachoka hata kabla ya kuanza kazi mara kuchat mara kubinua midomo yani tabu tupu na anajua Huna cha kumfanya kama ajila keshapata tena Serikalini
Sijabahatikaga kuwakuta wa namna hiyo mbona ntamtemea mate mie
 
RITA imezidi sana, labda ni kwa sababu hamna damu changa kule.
 
Huu uzi ulihitajika. Hawa RITA wanazingua mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…