Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
NilimpotezeaKama kadada ungekatongoza
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NilimpotezeaKama kadada ungekatongoza
Ova
Yani mm sikujaza hata form niliweka cheti kilucho kosewa na elfu 30 nikamwambia jioni nakifata na ikawa hivyoWe kweli?
Maana cha dogo jina la kati waliweka silo kabisa la mzee..
Ngoja nitafute namna ya kupata muhusika
Sijui RITA bosi wao ni naniYani mm sikujaza hata form niliweka cheti kilucho kosewa na elfu 30 nikamwambia jioni nakifata na ikawa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku RITA WAKIFUMULIWA nitachinja mbuzi hovyo sanaDuh...🤨
Wanakosea vyeti asilimia 99% halafu hawajali na majibu ya hovyo hovyoNilimpotezea
HII KWELI KABISAWanakosea vyeti asilimia 99% halafu hawajali na majibu ya hovyo hovyo
Wamekosea hadi cheti cha mtoto msemaji mkuu wa serikali, yaani ikitokea kiongozi akaita watu wenye malalamiko juu ya hawa viumbe embu awatembelee pale RITA ni hovyo hovyo tuHII KWELI KABISA
pafumuliwe pale waletwe watu wapya, waliopo wanafanya kwa mazoeaWamekosea hadi cheti cha mtoto msemaji mkuu wa serikali, yaani ikitokea kiongozi akaita watu wenye malalamiko juu ya hawa viumbe embu awatembelee pale RITA ni hovyo hovyo tu
🤣🤣🙌🙌Siku RITA WAKIFUMULIWA nitachinja mbuzi hovyo sana
Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo!
Ukichunguza kwa makini vyeti 8 kati ya 10 vilivyotolewa na RITA lazima utakuta dosari au changamoto!
Miongoni mwa dosari hizo ni kama zifuatazo!
1. Mteja anaweza kuwa anaitwa ABDALLA lakini cheti usishangae wakakitoa kikisomeka ABDULLA
2. Mteja anaweza kuwa amezaliwa 1969 lakini usishangae cheti wakakitoa kinasomeka 1996
3. Mteja anaweza kuwa anaitwa KHANIFA lakini usishangae kabisa kukuta wametoa cheti kinachosomeka HANIFA
4. Vyeti vingi wasipokosea jina la mtoto basi watakosea jina la wazazi iwe either baba au mama kisarufi, kiufupi ukichukua cheti RITA ukakiangalia kwa makini hukosi kasoro!
Ukiwauliza kwanini mnakosea watakujibu wao wanazingatia viambatanisho! Lakini hata pale mteja atathibitisha viambatanisho kuwa sahihi lakini bado hukosea vilevile
Hiii inatia sana mashaka uwezo wa watoa huduma hao huenda utaratibu wao wa ajira Rita hauna viwango stahiki!
Taasisi nyeti kama RITA Haikupaswa kabisa kuwa hivi karne 21
Kwa makosa wanayoyafanya kwenye Vyeti ingekuwa oparesheni ya afya ya mwili basi 80% ya wateja wao wangekuwa na vilema kwa makosa wanayoyafanya RITA.
Nashindwa kuelewa kwanini wameshindwa hata kuweka CUSTOMER PREVIEW ili mteja athibitishe taarifa kabla hawaja PRINT CHETI.
Mbali na cheti,
kwanza ukitaka kujua huduma ni mbovu hata ukifika ofisi zao pale jengo la RITA TOWER DSM utaona walivyo too disorganized (very local)
Mtakumbuka Kwa wale mliofika kwenye maonesho pale sabasaba mtakubaliana na Mimi kuwa wale wahudumu pale walionyesha kuwa na uelewa mdogo sana kichwani (dizaini kama RITA wanaajili vishoia kwenye idara kwenye baadhi ya idara)
Hata banda lao kwenye maonesho ya sabasaba lilitoa ujumbe wa huduma mbovu, "Lilikuwa banda bovu kuliko mabanda yote pale sabasaba!
Siamini hata kama RITA Wana mkurugenzi maana mambo yao yapo vululuvululu tu bora liende!
Inje ya huduma Jengo la RITA TOWER ni zuri sana na refu lakini pia inashangaza sana katika LIFT 4 zilizopo lakini inashangaza zinazofanya kazi pale ni mbili tu!
Hivyo siyo ajabu kabisa kwenye jengo la RITA mteja akasubiri LIFT kwa nusu saa!
Kiufupi huduma iliyopo sasa ukitaka kwenda RITA AGANA NA NYONGA! ile panda shuka ya ngazi kwa miguu.
kuna haja kubwa ya serikali kupitia tena taasisi hii,wananchi wanateseka sana.Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo!

Umeonakuna haja kubwa ya serikali kupitia tena taasisi hii,wananchi wanateseka sana.
Uko sahihi kabisa,Nina mashaka makubwa sana na uwezo wa watendaji RITA hususani kitengo cha usajili wa vizazi na vifo!

Hatari tupuUko sahihi kabisa,
Mimi mwanangu ana vyeti vitano, yaani toka alivoomba mara ya kwanza wakakosea mara 4 ndo ya tano kikaja kiko correct.
Sijabahatikaga kuwakuta wa namna hiyo mbona ntamtemea mate mieNa sana sana ni wadada ndio wenye changamoto kubwa ukimkuta asubuhi ofisini kachoka hata kabla ya kuanza kazi mara kuchat mara kubinua midomo yani tabu tupu na anajua Huna cha kumfanya kama ajila keshapata tena Serikalini
RITA imezidi sana, labda ni kwa sababu hamna damu changa kule.Taasisi nyingi za kiserikali zinafanya kazi kwa mazoea na kivivu sana. Huduma zinazotoka ni bora liende.
Niliwai enda taasisi fulani kufata fomu fulani unaambia fomu huwa inatolewa mwisho saa 4. Utasema baada ya saa 4 iyo fomu inakua sio part ya ofisi
Kama una roho ndogo unaweza rusha ngumiRITA kuna shida kubwa