Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

Hii horse itaondoka SouthAfrica muda wowote kama unataka trailer wasiliana nasi kabla ya truck kuondoka huku.
20230216_105435.jpg
 
Mkuu Kuna hii chuma Mitsubishi RVR 2010 nimeielewa sana . Vipi kwa ushauri wako naweza Anza nayo maisha ? Urahisi wa Upatikanaji wa vipuri upoje? Nk nk . Vipi used hapo SA hadi TZ kila kitu mpaka ushuru naipata pesa ngapi
Screenshot_20231215-132906_Opera%20Mini.jpg
 
Nilikua na mpango wakununua 2015 Hilux double cab huko south, kakini kuna sehemu nimeona ume comment kwamba Toyota za south haziingiliani spare na Toyota za Japan.

Hii imekaaje? Maana Kwa maduka ya spare hapa bongo mostly au zote Ni kutoka japan
 
Back
Top Bottom