GP Logistics Company
JF-Expert Member
- Feb 12, 2022
- 407
- 548
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda wapi?Kagari ka bei rahisi zaidi ulichowahi safirisha?
TZKwenda wapi?
Bei rahisi kama bei gani hivi?
PoloBei rahisi kama bei gani hivi?
Habari mkuu,Kama umenunua Gari lako South Africa, unatafuta Dereva mzoefu wakulileta popote ulipo kwanjia ya barabara niko hapo.
Nchi tunazosafurisha Magari.
1. Kenya
2. Uganda
3. Rwanda
4. Burundi
5. Zambia
6. Malawi
7. Congo DRC
8. Tanzania
Ducoments muhumu:
1. Interpol,
2. SADC
3. Police clearance
4. Export permit
Kujua gharama za mafuta kutoka SA na gharama nyingine za njiani nitajie aina ya Gari.
Njia nazopita
1. Botswana
2. Zambia
Boda
1. Koffonten South Africa West
2. Kazungula Zambia
3. Tunduma Tanzania
4. Kasumbalesa
5. Kobero
Pia kama unataka kitu chochote vitu vidogovido dhami isizidi 500k kutoka SouthAfrica niambie nakununulia na kusafirisha pia.
Kama unataka Gari utalipia Rand 1,000 gharama za kutafuta Gari au mashine.
Kwamaelezo zaidi nicheki whatspp +27 71 821 9244
View attachment 2755903
Ahsante kwa taarifa...
Salama mkuu,Habari mkuu,
Pole na majukumu ya kazi mkuu,hivi kusafirisha Magari kutoka Durbun kwenda DRC kube kwenye car caring Gari moja bei gani?
Magari Mpya kutoka Japan kwenda Lubumbashi.Salama mkuu,
1. Unataka bei ya kusafirisha Magari kwenda DRC upande upi?
2.Magari ni mapya au used?
3.Yanatokea SouthAfrica au Ulaya au Japan.
4.Wingi kiasigani?
Ok sawa nimekuelewa,hapa sina trailers wala trucks za kubeba Magari,nipe muda niulize nitakujubu.Magari Mpya kutoka Japan kwenda Lubumbashi.
Kuhudu malipo unaweza kunilipa mimi au ikalipa moja kwamoja kwenye showroom zinazouza Magari.mm issue yangu ...Mano nataka discovery 4 to seme ni rand 300,000 utaraibu wa malipo unakuaje?
Mbili gari unanitafutia au natafuta mwenyewe then ww kazi yako nikunisafirishia tu/
Tatu ,nitakuami vipi mfano nimesha kurushia hela yangu?
Mfano nataka AC Commpressor ya ford ranger najua huko ni cheap. utaratibu wa malipo unakuaje?
PoaOk sawa nimekuelewa,hapa sina trailers wala trucks za kubeba Magari,nipe muda niulize nitakujubu.
Pamoja na ushuru?Kwa bajeti ya 10m or below naweza kupata gari gani kutoka SA? Lengo langu nataka kujua kama naweza kusave pesa badala ya kuagiza gari ndogo used kutoka Japan!
Sent from my Infinix X6716B using JamiiForums mobile app
Unaombaje ajira ya udereva SouthAfrica wakati uko Tanzania?Mimi naomba ajira...ni dereva ninayo leseni nipo Tanzania