Huduma ya usafirishaji wa magari kutoka Afrika Kusini - Tanzania

Mkuu Kuna hii chuma Mitsubishi RVR 2010 nimeielewa sana . Vipi kwa ushauri wako naweza Anza nayo maisha ? Urahisi wa Upatikanaji wa vipuri upoje? Nk nk . Vipi used hapo SA hadi TZ kila kitu mpaka ushuru naipata pesa ngapi
 
Nilikua na mpango wakununua 2015 Hilux double cab huko south, kakini kuna sehemu nimeona ume comment kwamba Toyota za south haziingiliani spare na Toyota za Japan.

Hii imekaaje? Maana Kwa maduka ya spare hapa bongo mostly au zote Ni kutoka japan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…