Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

Daah..umeongea kweli,walioitwa na Mungu hawajaitika ila walijiita ndo wako front
 
Watu wengi wanasema huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au kulogwa na umaarufu, tamaa ya pesa au aibu anayokumbana nayo baada ya kutoka kwenye mstari wa kiimani ya kikristo.
Siyo kwamba amempata Katibu kweli!?
 
Tusiende kwa makuhani na mitume?
ukienda umetaka mwenyewe, huko hawafundishi ufalme wa Mungu, wanakomaa na mafanikio ambayo hata ukifanikiwa kuna kufa, hawaamini watu kuacha dhambi, ndio maana si ajabu dada poa ukamkuta na mafuta ya upako
 
 
Ila mi nabarikiwa na napokea uponyaji na sjawahi enda Kawe
Ni mtu wa Mungu mi nahisi hivyo
Namuombea maisha marefu
kila mtu, ni mtu wa Mungu shetani hana watu, ila kuwa kwamba ni mtumishi wa Mungu hilo ndio sina uhakika nalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…