Huenda Christina Shusho amechanganyikiwa au amelogwa?

kaanzisha kanisa lake?
kwa sikuhizi kanisa ni investment km investment zingine. Inawezekana kaona fursa itayomlipa baadae.

Kuhusu hilo la mumewe huyo dada aseme ukweli aache kusingizia hiyo kazi ya kanisa.
kuchunga kanisa si lelemama, kanisani unalea huduma na vipawa vyote walivyo navyo waumini unaowachunga. Sasa kama mizozo ya ndoa ikitokea miongoni mwa waumini wake atawezaje kusuluhisha ikiwa yeye mwenyewe ana ushuhuda mbaya kwa ndoa yake aliyoiacha? Hatakuwa mwalimu mzuri kwa wanandoa wapya
 
Miaka ya mwanzo wakati anavuma na albam yake ya kwanza 'utukumbuke' niliona picha yake kwenye cover la jarida moja la mastaa nikashanga nguo alizokuwa amevaa kwa mujibu wa imani ya maadili ya kikristo hazikuwa sahihi kuvaliwa naye
 
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…