Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Msidharau huu Uzi, ndio akili zao wanayowaza. Hao chadwma wana wanachama wao wako rupango kwa kesi za Oktoba 29.


Lojiki yao yasema, Mkt wao akifungwa kwa uhaini na wanachama kwa uchochezi maana yake chama ni Cha kihaini na kinachochea vurugu, watapigwa ban uongozi wote kushiriki sihasa. Na Hapo rungu atapewa Shosti nyahuzo na bosi wake Jagi Mtungi.

Chama kitafutwa, na kama watataka kurudishwa mpaka maridhiano, na huko ndio wataenda wakina Mwamba na timu yake kwa gia ya kukomboa chama kisifie kwa usajili. Na hoja ya MARIDHIANO itapata mashiko.

Ile tume ya Jagi Lile inachombeza chombeza pembeni huko, ishatoka milio ya yule Mshengoma wa mikocheni aliyelonga cdm ilichochea ya Oktoba.

Mtakumbuka pia, Tume ya Jagi Chonde, ilisema Kuna kikundi Cha vijana mamia kiliratibiwa mafunzo mita kadhaa kutoka makao makuu ya chama Fulani. Sasa Mshengoma ni wa mikocheni na makao makuu ya dcm ni ...
 
Shida tukutukane..haya wanakutomba
ukiweka pembeni matusi,
maoni yako ni yapi ikiwa hukumu ya tundu lisu itaambatana na kufutwa kwa chadema kama chama cha siasa?

changia bila mihemko na itapendeza sana gentleman :1Head:
 
Itakuwa ni mwanzo wa zama mpya za hatari na wewe pamoja na CCM wote mtaona Karatoum kwa macho peeee
kivipi sasa gentleman,
hali ya kua kituo cha vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na maadui wa umoja, amani na usalama wa waTanzania kitakua kimesambaratishwa? :1Head:
 
Msidharau huu Uzi, ndio akili zao wanayowaza. Hao chadwma wana wanachama wao wako rupango kwa kesi za Oktoba 29.


Lojiki yao yasema, Mkt wao akifungwa kwa uhaini na wanachama kwa uchochezi maana yake chama ni Cha kihaini na kinachochea vurugu, watapigwa ban uongozi wote kushiriki sihasa. Na Hapo rungu atapewa Shosti nyahuzo na bosi wake Jagi Mtungi.

Chama kitafutwa, na kama watataka kurudishwa mpaka maridhiano, na huko ndio wataenda wakina Mwamba na timu yake kwa gia ya kukomboa chama kisifie kwa usajili. Na hoja ya MARIDHIANO itapata mashiko.

Ile tume ya Jagi Lile inachombeza chombeza pembeni huko, ishatoka milio ya yule Mshengoma wa mikocheni aliyelonga cdm ilichochea ya Oktoba.

Mtakumbuka pia, Tume ya Jagi Chonde, ilisema Kuna kikundi Cha vijana mamia kiliratibiwa mafunzo mita kadhaa kutoka makao makuu ya chama Fulani. Sasa Mshengoma ni wa mikocheni na makao makuu ya dcm ni ...
Wewe kalio kwani una haraka gani Hadi unaandika ujinga tunasumbuka kusoma😡😡
 
Hata ikifutwaa tutaanzisha chama kipya au tutahamia chama kipya na hiyo Hukumu ,mahakama ya rufani ipo so tusitishane Man
well done,
hivyo ndivyo mwanasiasa na mwanademokrasia kindakindaki anapaswa kua katika nchi ya demokrasia na utawala wa sheria.

lakini pia,
humu jukwaani hua hakunaga kutishana gentleman okey?
usiogope na asikutishe mtu, sawa? :1Head:
 
Nashindwa kuelewa hawa waporipori waliovamia chadema, kwanini wasingeenda kuanzisha chama chao kama walioona Statesman Mbowe hana mpango wa kushinda uchaguzi, hapo tungeona kama wangeweza kukifikisha chama chao kuwa kama Mbowe alivyosota na Chadema mpaka ikafikia hapo
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
In your Dreamz
Kuwarahisishia, msifute tu CHADEMA bali hata TAL mumnyonge kabisa, labda ndio MALKIA wenu atatawala kwa AMANI!
 
Aibu naona mimi 😆😆
pole sana ndugu mdau wa heshima JF,

katika sayansi ya siasa,
hua hakuna mzaha, hakuna huruma, hakuna haya, wala aibu unless hufanyi siasa na upo kwenye siasa.

hata hivyo, hiyo si muhimu sana hapa,
ila nadhani,
huenda wadau wa JF wangependa kuona maoni na mtazamo wako ikiwa hukumu ya tundu lisu itaambatana na kufutwa rasmi kwa chadema katika siasa za Tanzania.

can you do that plz if you don't mind?:1Head:
 
Heche hawezi kukubali mradi wake wa kujikusanyia michango ufe kirahisi yuko tayari kufa kwaajili ya mradi wake wa chadema, ila tu yuko tayari Lissu ahukumiwe kunyongwa maana itakua ni nafasi nzuri ya kutajirika
in fact,
heche atabanduliwa wa kwanza pale chadema taifa,
kabla ya chama kufutwa rasmi chini ya j.selasini na lema :1Head:
 
Nyie wezi wa kura na waauaji ndiyo mlistahili kufutwa kabisa.
pamoja na hizo porojo,
maoni yako ni yapi ikiwa hukumu ya tundu lisu itaambatana na kufutwa kwa chadema kama chama cha siasa?

kwa kifupi tu gentleman :1Head:
 
ZILAANIWE SHAHAWA MBOVU ZA BABA YAKO ALIZOMKOJOLEA MAMA YAKO UKAZALIWA ***** WEWE
toa maoni na mtazamo wako kistaarabu,
bila kutukana wadau wa heshima wa JF na itapendeza zaidi gentleman, plz :1Head:
 
Analipwa kwa threads anazoanzisha kuhusu Lissu na Chadema, ameambiwa hata kama zimekaa kichawa vipi aanzishe tu hivyohivyo asione aibu😅😅
Gentleman,
ukiachilia mbali huo upotoshaji unaoufanya,

maoni yako ni yapi haswa ikiwa hukumu ya tundu lisu itaambatana na kufutwa kwa chadema kama chama cha siasa nchini?

nadhani wadau wa jF wangefurahi sana kuona maoni na matazamo wako juu ya hilo kuliko huo upotoshaji unaoufanya:1Head:
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
Ndivyo mlivyopanga? Mnyongeni na mfute chadema hakuna haja ya kuleta Uzi humu.
 
HAKI unayoizungumza ktk Taifa hili ni ipi! Dhuruma chini ya chama tawala zimekomaa kila kona.
Bwana Mungu ktk Maandiko Anasema:
"Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki. " (Mithali 16:12)
Gentleman,
taifa letu linaongozwa katika misingi ya kikatiba inayozingatia haki za binadamu.
Demokrasia na Chaguzi zote Tanzania hufanyika kikatiba katika misingi ya haki, uhuru na usawa.
Na tunasonga mbele vizuri sana kama taifa.

mbali na hayo,
maoni yako ikiwa hukumu ya tundu lisu itaambatana na kufutwa kwa chadema kama chama cha siasa ni yapi?:1Head:
 
Back
Top Bottom