Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Halijishtukii tu halafu lenyewe linajiona lina point kumbe mashudu tu
Hawa ndo wale boda boda wanajaziwa mafuta ya elfu kumi kweny uchaguzi alafu Leo hii wanalalamika kuuziwa tsheti za afisa usafirisha kwa lazima. ( Lile limwenge cyo bule
 
Watu wameshakupuuza humu na kujibu hoja zako ni kupoteza tu muda maana hauna impact yeyote humu zaidi ya porojo.

Hivi wewe mwanamke huoni hata aibu hakuna anaekusapoti hoja zako zaidi ya wewe na kakikundi kako pia ID zako feki kujibizana
 
Hata chama kifutwe kitaanzishwa kingine na nguvu inakua vile vile kumbuka chadema sio chombo ni watu hivyo labda nikitu kipo ndanibya nafsi ya mtu
at least you have replied as professional politician,

well done gentleman:NoGodNo:
 
Wewe
Watu wameshakupuuza humu na kujibu hoja zako ni kupoteza tu muda maana hauna impact yeyote humu zaidi ya porojo.

Hivi wewe mwanamke huoni hata aibu hakuna anaekusapoti hoja zako zaidi ya wewe na kakikundi kako pia ID zako feki kujibizana
Divide and rule .labda kalambishwa asali yeye na genge lake.ccm Ina mengi
 
“Ni kifungu gani cha sheria kinachoweka automatic link kati ya conviction ya kiongozi wa chama na cancellation ya usajili wa chama?”
Ukikipata, kiweke hapa.
Kama hakipo, basi tunazungumza juu ya speculation, siyo legal consequence.
wajibu wa kufuta chama cha siasa uko kwenye mamlaka inayosimamia vyama vya siasa nchini.

ni wazi,
hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa, ina athari za moja kwa moja kwenye chama husika ikiwa ni pamoja na kufutwa rasmi kwa kukiuka sheria na miiko ya usajili wake:NoGodNo:
 
Hamjifunzi tu? Hata tarehe 29 ni matokeo ya watu kuona mifumo ya demokrasia iliyopo haviwezi leta mabadiliko. Watu wamegeukia maandamano!! Sasa mkifuta chadema unategemea hao wanachama wao watakuwa wanafikisha vipi hisia zao kama sio mtazaa disorganised opposition vitokee vikundi vya kigaidi!!

Sielewi huko TISS wana kazi gani? Mbona hata la saba kama mimi naona bila vyama imara tutazaa tatizo jingine kubwa zaidi.
Hawataki kusemwa hawataki kukosolewa kwa ukali.

Lakini kusema kweli mtu akikusoa kwa ukali na dharau inauma sana
 
wajibu wa kufuta chama cha siasa uko kwenye mamlaka inayosimamia vyama vya siasa nchini.

ni wazi,
hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa, ina athari za moja kwa moja kwenye chama husika ikiwa ni pamoja na kufutwa rasmi kwa kukiuka sheria na miiko ya usajili wake:NoGodNo:
We kweli kalio🖐️kwani mahakamani kashitakiwa TAL au imeshitakiwa CDM?? Ujue nimekuja kugundua wewe ni kilaza ila unabahatisha mambo
 

Msidharau huu Uzi, ndio akili zao wanayowaza. Hao chadwma wana wanachama wao wako rupango kwa kesi za Oktoba 29.


Lojiki yao yasema, Mkt wao akifungwa kwa uhaini na wanachama kwa uchochezi maana yake chama ni Cha kihaini na kinachochea vurugu, watapigwa ban uongozi wote kushiriki sihasa. Na Hapo rungu atapewa Shosti nyahuzo na bosi wake Jagi Mtungi.

Chama kitafutwa, na kama watataka kurudishwa mpaka maridhiano, na huko ndio wataenda wakina Mwamba na timu yake kwa gia ya kukomboa chama kisifie kwa usajili. Na hoja ya MARIDHIANO itapata mashiko.

Ile tume ya Jagi Lile inachombeza chombeza pembeni huko, ishatoka milio ya yule Mshengoma wa mikocheni aliyelonga cdm ilichochea ya Oktoba.

Mtakumbuka pia, Tume ya Jagi Chonde, ilisema Kuna kikundi Cha vijana mamia kiliratibiwa mafunzo mita kadhaa kutoka makao makuu ya chama Fulani. Sasa Mshengoma ni wa mikocheni na makao makuu ya dcm ni ...
Ila maisha haya ni magumu sana.

Yeye kwanini Lissu anaamini hizo mahakama.

Nadhani Baada ya uchaguzi wa 2015 jitihada zilianza za kujaribu kuviua hivi vyama viwili Chadema na CUF. Hizo jitihada ndio zimeleta instability wala sio hivyo vyama.
 
Msajili wa vyama alipaswa kuifuta chadema muda mrefu, maana chadema ni genge la kihalifu ambalo limejifichq kwenye mwamvuli wa chama cha siasa.
Hili genge la kihuni ndio linaharibu amani na utulivu wa nchi yetu.
Genge hili ndio linalotumiwa na maadui wa Taifa letu kuichafua amani ya nchi.
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
Stupid people think stupid.
 
Watu wameshakupuuza humu na kujibu hoja zako ni kupoteza tu muda maana hauna impact yeyote humu zaidi ya porojo.

Hivi wewe mwanamke huoni hata aibu hakuna anaekusapoti hoja zako zaidi ya wewe na kakikundi kako pia ID zako feki kujibizana
Gentleman,
huna haja ya kubabaika na hilo hususani dhidi yangua au mdau mwingine yopyote yule wa JF.
iIn fact,
huko ni kujikomoa mwenyewe na kujinyima fursa ya kupata mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya uelewa na ufahamu wako mdogo au finyu kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.

so,
uamuzi useless kama huo ni nonsense kwangu,

you can do it at your own risk.

kama wewe kwamfano,
si umejiunga JF kwaajili ya kutukana tu au kuna kingine?:NoGodNo:
 
ndio hapo nataka maoni na mtazamo wako ikiwa chadema itafutwa rasmi kama chama cha siasa nchini, unaonaje?:1Head:
Litakuwa ni jambo baya sana. Inaashiria kwamba CCM haitaki upinzani. Na kama itaruhusu upinzani ni upinzani ambao wanaweza kuukontroo.

Maana ake ni kuwa nchi hii haijawahi kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi. Ilikuwa ni usanii tu
 
Hii ndio maana halisi ya "siasa ni mchezo mchafu"
umeona ee,
sasa kuna vibwengo wamevaimia siasa wanadhani siasa ni kuporomosha matusi, kublock na kuignore wadau wa jf wenye maoni na mitazamo tofauti na yao:pedroP:
 
Hawataki kusemwa hawataki kukosolewa kwa ukali.

Lakini kusema kweli mtu akikusoa kwa ukali na dharau inauma sana
ukweli mchungu,
itakubidi uzoweee tu gentleman:pedroP:
 
Msajili wa vyama alipaswa kuifuta chadema muda mrefu, maana chadema ni genge la kihalifu ambalo limejifichq kwenye mwamvuli wa chama cha siasa.
Hili genge la kihuni ndio linaharibu amani na utulivu wa nchi yetu.
Genge hili ndio linalotumiwa na maadui wa Taifa letu kuichafua amani ya nchi.
uko sahihi 100% gentleman:KasugaYeah:
 
Back
Top Bottom