MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,454
- 3,978
Mimi nimejiunga JF kipindi wewe Bado upo Facebook. Ukweli ni kwamba mkubali tu kuimeza dawa chungu kuwa CCM sasa hivi Haina mvuto tena kwa wananchi na nyie machawa ndiyo mmeifikisha hapa ilipo sasa mkiongozwa na huyo mama kahaba
Gentleman,
huna haja ya kubabaika na hilo hususani dhidi yangua au mdau mwingine yopyote yule wa JF.
iIn fact,
huko ni kujikomoa mwenyewe na kujinyima fursa ya kupata mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya uelewa na ufahamu wako mdogo au finyu kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kitaifa na kimataifa.
so,
uamuzi useless kama huo ni nonsense kwangu,
you can do it at your own risk.
kama wewe kwamfano,
si umejiunga JF kwaajili ya kutukana tu au kuna kingine?![]()