Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Kiukweli nakelwa na matusi na lugha za kejeli humu jukwaani, watu wanataka democrasia ambayo wao wenyewe hawawezi kuiishi, democrasia ni pamoja na uvumilivu wa hoja kinzani na lugha ya stara hata kama hoja hiyo inakuchoma maungoni

Na kwa namna hii siku viongozi wa chadema wakipewa madaraka tutaona udikteta wa hoja na matendo usiowahi kutokea duniani kote
uko sahihi gentleman,
hakuna siku chama chenye wanachama wa aina hii kinaweza kupewa dhamana ya umma wa waTanzania.

hawana uelewa juu ya demokrasia lakini kila siku wanaimba haki 🐒
 
uko sahihi gentleman,
hakuna siku chama chenye wanachama wa aina hii kinaweza kupewa dhamana ya umma wa waTanzania.

hawana uelewa juu ya demokrasia lakini kila siku wanaimba haki 🐒
Mdau najiombea na kukuombea nawe pia umri mrefu siku nije nione reaction zako pindi utakapokuwa upande wa upinzani iwe chama au rais nione kama kweli demokrasia kwako ipo damuni au ni kwakuw upo upande wa ushindi
 
Gentleman,
siasa ni sayansi, na mtu umeenda shule kabisa,
inawwzekanaje ukawa mpinzani?

binafsi kamwe siwezi kuishi upinzani, labda siasa ibadilike na isiwe sayansi tena.

unajua kazi ya upinzani n rahisi na nyepesi sana? Yaani nikupinga tu kikakitu :pedroP:

watu tumeenda shule ili hatimae elimu tulipata ituwezeshe kufanya kazi nzito na mambo makubwa kwa maslahi mapana ya taifa.

Daima nitakua upande wa kuwatumikia wananchi kwa kubeba majukumu mazito kulingana na uwezo mkubwa wa kielumu na sio kufanya kazi nyepesi za kupinga tu 🐒
 
Gentleman,
siasa ni sayansi, na mtu umeenda shule kabisa,
inawwzekanaje ukawa mpinzani?

binafsi kamwe siwezi kuishi upinzani, labda siasa ibadilike na isiwe sayansi tena.

unajua kazi ya upinzani n rahisi nyepesi sana? Yaani nikupinga tu kikakitu :pedroP:

watu tumeenda shule ili hatimae elimu tulipata ituwezeshe kufanya kazi nzito na mambo makubwa kwa maslahi mapana ya taifa.

Daima nitakua upande wa kuwatumikia wananchi kwa kubeba majukumu mazito kulingana na uwezo mkubwa wa kielumu na sio kufanya kazi nyepesi za kupinga tu 🐒
Hii ni kusema chadema wakichukua nchi utatoka ccm na kuhamia chadema right?
 
Hii ni kusema chadema wakichukua nchi utatoka ccm na kuhamia chadema right?
chadema inakwenda kufutwa gentleman,
chadema ipi hiyo unaizungumzia?

mimi daima nitakua upande wa umma wa waTanzania wote na si vinginevyo 🐒
 
chadema inakwenda kufutwa gentleman,
chadema ipi hiyo unaizungumzia?
Ni vyema usikwepeshe hoja kwa kuelewa hoja general na specific, hapo chadema imetumika kama mjumuisho wa vyama pinzani na sio specific kama chama means imetumika kama mfano
mimi daima nitakua upande wa umma wa waTanzania wote na si vinginevyo
Nakuuliza tena nchi ikichukuliwa na chama tofauti na ccm utahama ccm na kwenda chama kilichoshika madaraka kwa kigezo cha kuwatumikia wananchi?
 
Hahaha hiyo itakuwa petrol kwenye moto. Chadema ndio tegemeo la watanzania kwasasa. Amka usingizini acha kuota
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
Kisipifutwa ntashangaa sana
 
Ni vyema usikwepeshe hoja kwa kuelewa hoja general na specific, hapo chadema imetumika kama mjumuisho wa vyama pinzani na sio specific kama chama means imetumika kama mfano

Nakuuliza tena nchi ikichukuliwa na chama tofauti na ccm utahama ccm na kwenda chama kilichoshika madaraka kwa kigezo cha kuwatumikia wananchi?
narudia tena kwa msisitizo gentleman,
siasa ni sayansi, na kama mwanasiasa muandamizi, siwezi kua nje ya matakwa ya umma wa waTanzania.

Kwa imani yangu,
kufanya kazi nyepesi hali ya kua una nguvu na elimu ya kufanya kazi na majukumu mazito na makubwa kwa maslahi mapana ya taifa ni dhambi.

siwezi kuchuma dhambi kufanya kazi nyepesi ya kupinga kila kitu na kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu 🐒
 
Natekeleza demokrasia kwa vitendo hivyo nitatumia lugha ya kiungwana

Mkuu naomba (kwa heshima na taa zima) nijibu swali langu acha kukwepesha swali kwa kuleta mubalagha

Kwa nchi yetu ili uwe mwanasiasa lazima uwe mwanachama wa chama fulani kwani hatuna mwanasiasa huru au kwa maneno mengine mgombea huru

Hivyo basi wewe kama mwanasiasa wa kisayansi wa chama cha mapinduzi kwa sasa, endapo chama chako kikipigwa kata funua na chama kingine utahamia kwenye chama tawala au utabaki ccm? Naomba embrace democracy nipe jibu
 
Mara ya mwisho mmeingia kwenye uchaguzi nini kilitokea? Hata wakubwa zako waliamini siasa za Tanzania zinaweza kwenda bila chadema ila majibu waliyapata, sasa jidanganyeni kuifuta chadema majibu mtatupa sisi tupo pale…
 
Nionavyo mimi kuliko kuifuta CHADEMA ni bora uue watu wote ubaki peke yako tu. Sababu upinzani unatokana na watu kutofautiana mawazo au itikadi, popote kwenye mtu zaidi ya mmoja lazima upinzani utatokea tu. Ata leo ukifuta vyama vyote ukabaki na kimoja, humo humo wataibuka upinzani miongoni mwenu.
 
Back
Top Bottom