Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Nionavyo mimi kuliko kuifuta CHADEMA ni bora uue watu wote ubaki peke yako tu. Sababu upinzani unatokana na watu kutofautiana mawazo au itikadi, popote kwenye mtu zaidi ya mmoja lazima upinzani utatokea tu. Ata leo ukifuta vyama vyote ukabaki na kimoja, humo humo wataibuka upinzani miongoni mwenu.
ok.,šŸ’
 
Mara ya mwisho mmeingia kwenye uchaguzi nini kilitokea? Hata wakubwa zako waliamini siasa za Tanzania zinaweza kwenda bila chadema ila majibu waliyapata, sasa jidanganyeni kuifuta chadema majibu mtatupa sisi tupo pale…
ok.sawašŸ’
 
Kwa kuwa umetuuliza kwa uwazi tuna maoni gani wacha nasi tukupe mawazo yetu mimi nakushauri tu upunguze au uache kabisa kuingiliwa kinyume cha maumbile kitendo hicho kinakudhoofisha kimwili na kiakili hata ukashindwa kufikiri properly,hata kitoto kichanga kilichozaliwa leo kinajua chadema ni chama cha ukombozi wa wanachi wa Tanzania na kitadumu milele na kitachukua dola.
 
Mashahidi kutokea Chadema wamemvua Kitanzi shingoni Mwenyekiti waoā€¼ļø

na icho Kitanzi wamekivisha chama chao cha Chadema

1)Na kwasasa hakina pesa ya kununua japo maji ya mezani na maji Dawasa ā—ļø

2) hakina pesa kulipia Umeme w Luku Ofisini pale
mikocheni

3)hakina pesa ya Kujaza Mafuta Magari yao ya kimkakati

4)Ofisi yingi ndogo ndogo uwenda zikafungwa mapema mwakani baada kukosa chochote kitu kutokea makao makuu

Aya yapo kabla MAJAJI
Kupiga nyundo zao

Chadema kinateketea baada ya kusababisha Mauaji ya Watanzania pasi na Sababu
yoyote ya Msingi kifutwe tu 😭😭😭😭
 
Kwa kuwa umetuuliza kwa uwazi tuna maoni gani wacha nasi tukupe mawazo yetu mimi nakushauri tu upunguze au uache kabisa kuingiliwa kinyume cha maumbile kitendo hicho kinakudhoofisha kimwili na kiakili hata ukashindwa kufikiri properly,hata kitoto kichanga kilichozaliwa leo kinajua chadema ni chama cha ukombozi wa wanachi wa Tanzania na kitadumu milele na kitachukua dola.

Ukombozi wenyewe Bwashehe ndio huu wa tone tone šŸ‘ˆ

lkn Tanzania hakutowai kutokea ukombozi ule mnadanganywa Sababu nchi tayali ipo huru

Miaka ya nyuma na chama cha CUF kilipandikizwa mawazo ya Ukombozi Bandia ili kupata Sapoti ya Wananchi
Lkn mwisho CUF ile pale migogoro imekuwa ndio nyumbani kwaošŸ˜‚šŸ˜‚

Chadema chini ya Mwenyekiti wenu Lissu inaenda kuteketea kiurahisi vibaya mno

Sababu ya ufinyu wa kuelewa mikakati ya kisiasa kwa Lissu ni mdogo sanaā€¼ļø

Kwasasa wenye kuelewa washaona tayali Chadema imegeuka BOOM šŸ’„ wkt wowote linalipuka
 

Attachments

  • Yeriko.png
    Yeriko.png
    1.8 MB · Views: 11
  • 6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    20.3 KB · Views: 7
  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 12
Hata weee najua hupendi CDM ifutwe na hata hukumu ya Lissu huipendi hadi kesi ya Lisu
Upo sahihi. Ila sitamani Lissu na Heche waendelee na nafasi zao ili kuruhusu chama kupata utulivu na kuendelea na siasa kuliko hivi sasa chama kiko busy na harakati tu..
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
Kama tusipouziba ufa sasa kwa gharama ndogo tutakujakulazimika kujenga ukuta kwa ngarama kubwa sana. Mchelea mwana kulia hulia yeye. Chelewachelewa utakuta mwana siwako. Mleavyo ndivyo akuwavyo. Samaki mkunje angali mbichi. Udogo upate ungali maji. Ajizi ni nyumba ya njaa. Kikulacho ki nguoni mwako.

Misemo hii ya wahenga haikuja bure, ilitokana na uzoefu.
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
Thamani ya mshindi wa kwanza huwa inanogeshwa zaidi na thamani ya washindani wake.

Tukumbuke ubora wa mtu wa kwanza unatokana na ushiriki wa mtu wa mwisho.
 
Thamani ya mshindi wa kwanza huwa inanogeshwa zaidi na thamani ya washindani wake.

Tukumbuke ubora wa mtu wa kwanza unatokana na ushiriki wa mtu wa mwisho.
Gentleman,
mie nadahani hayo masuala ya sijui kunoga ama vinginevyo,
yafanyike huko huko kwenye mambo yasiyo ya kisiasa na itapendeza zaidi.

nijuavyo mimi kitaalamu,
kwenye siasa,
hua hakunaga aibu, hakunaga haya, wala hakunaga huruma katika kuyafikia malengo mahususi ya kisiasa.
hili ni vizuri kuwashirikisha na wengine waliovamia siasa, wakadhani ni kama kuongoza ibada :NoGodNo:
 
Thamani ya mshindi wa kwanza huwa inanogeshwa zaidi na thamani ya washindani wake.

Tukumbuke ubora wa mtu wa kwanza unatokana na ushiriki wa mtu wa mwisho.
LIssu na mashahidi wa Lissu waliweka wasi masuala ya kuasi, kukinukisha na kuuvuruga uchaguzi ulikuwa ni mkakati wa chadema na sio wa TAL tu. Hii ni kusema kila kilichodanyika Oct29 na baada ya oct29 ilaumiwe chadema yote sio Lissu tu peke yake. Kama ni hivyo maana yake chadema ndiyo iliyokata watu vidole, iliyoua askari, iliyochoma mwendokasi, sheli, ofisi za serikali ya mitaa, vituo vya polisi, ATM na TRA.

Maana yake chadema ama
1. Ifutwe au
2. Kisimamishwe kwa muda kadhaa kufanya siasa au
3. Viongozi wa sasa wafungiwe kufanya siasa Tanzania kwa muda au milele au
4. Chama na viongozi wapewe onyo au
5. Chadema ilipe gharama za uharibifu waliofanya au
6. Viongozi wote secretariet waende jela na adhabu ngumu.
 
Back
Top Bottom