Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaambatana na kufutwa kwa CHADEMA kama chama cha siasa nchini

Wafuasi wa chadema wanachoweza ni kumimina matusi hawanaga hoja, ni zero brain wako km wafuasi wa Joseph Kibwere wa Uganda
hawana kitu kabisa aise gentlemn,

completely hawana kitu kabisa aise. ni vichekesho sana:pedroP:
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
Ifutwe maana ndo imesabibisha taifa kuwa maskini tangu tupate uhuru miaka 60
Wamesabibisha miaka 60 hutuna hata maji ya uhakika ya kunywa

Mpumbavu hujibiwa SAWA na upumbavu wake
 
Ifutwe maana ndo imesabibisha taifa kuwa maskini tangu tupate uhuru miaka 60
Wamesabibisha miaka 60 hutuna hata maji ya uhakika ya kunywa

Mpumbavu hujibiwa SAWA na upumbavu wake
changia tu hoja bila mihemko wala kupanic gentleman na itapendeza zaidi:NoGodNo:
 
Ah jamani CHADEMA mna matusi!
Hivi ni kweli huwa mna mafunzo maalum ya kutukana yeyote msiyekubaliana nae?
huenda mafunzo ambayo huyazingatia zaidi ni kutukana na kuporomosha matusi,
na sio kujibu hoja kwa maoni na mawazo mabadala bora zaidi ya wengine.

in fact,
ni hodari sana wa kutukana hao wangwana, kitu ambacho hakiisaidii chadema wala wao wenyewe chochote:NoGodNo:
 
Ma CHADEMA yanatukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu. Lazima CHADEMA Ifutwe tu na Lissu afungwe Jela Maisha
 
Wananchi wakija kuchachamaa mnaenda kujificha Ngerengere
 
Wananchi wakija kuchachamaa mnaenda kujificha Ngerengere
sasa gentleman,
huna hata maoni ikiwa chadema itafutwa utachukua hatua gani,

unadhani kuna mtu makini anaweza kubabaika na hiyo porojo mathalani?🐒
 
ok sawa,
but wadau wa Jf wangependa kufahamu maoni yako ikiwa chadema itafutwa utajiunga chaumma au utazira na kuisusia siasa? :NoGodNo:

Kwani nani kakwambia niko CDM. Mimi nimecheza chipukizi na kushuhudia mbio za Mwenge ntaachaje ninachofahamu? Ila siko kwenye taharuki tu 😂 😂 😂 😂 😂

Kuzirai unamtania boss au 😂😂😂😂😂😂
 
Kwani nani kakwambia niko CDM. Mimi nimecheza chipukizi na kushuhudia mbio za Mwenge ntaachaje ninachofahamu? Ila siko kwenye taharuki tu 😂 😂 😂 😂 😂

Kuzirai unamtania boss au 😂😂😂😂😂😂
kwahiyo,
unawaringishia waporomosha matusi?🐒
 
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.

Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi itakua ni fundisho kwa vyama vingine vya siasa kudumisha amani, siasa za kistaarabu, uhuru, haki na uwazi katika masuala yote yahusuyo chaguzi za amani nchini Tanzania.

una maoni gani kwenye hili.
Chadema ifutwe au izuiwe kufanya siasa Tanzania? :1Head:

Mungu Ibariki Tanzania.
Kagongwe huko
 
Back
Top Bottom