Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #161
well done,LIssu na mashahidi wa Lissu waliweka wasi masuala ya kuasi, kukinukisha na kuuvuruga uchaguzi ulikuwa ni mkakati wa chadema na sio wa TAL tu. Hii ni kusema kila kilichodanyika Oct29 na baada ya oct29 ilaumiwe chadema yote sio Lissu tu peke yake. Kama ni hivyo maana yake chadema ndiyo iliyokata watu vidole, iliyoua askari, iliyochoma mwendokasi, sheli, ofisi za serikali ya mitaa, vituo vya polisi, ATM na TRA.
Maana yake chadema ama
1. Ifutwe au
2. Kisimamishwe kwa muda kadhaa kufanya siasa au
3. Viongozi wa sasa wafungiwe kufanya siasa Tanzania kwa muda au milele au
4. Chama na viongozi wapewe onyo au
5. Chadema ilipe gharama za uharibifu waliofanya au
6. Viongozi wote secretariet waende jela na adhabu ngumu.
thank you very much gentleman for a very brilliant political analysis 🤝

