Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

magufuli amewafunza watu ubaya wa njia za mkato, saivi ukimwambia mtu akafoji vyeti atakutuna matusi yote... itoshe kusema jpm kaliponya taifa kwa mambo mengi.
 
Pole mkuu. Mfuate aliko. Ni kweli na haba kuwapata madikiteta kama yeye au Hitler. Uingereza wanalegeza masharti kwa kuwa wengi wamepata chanjo.
 
Eee..!.Mungu Baba Mwenyezi twakuomba uliepushe taifa letu lisije tena likapata watawala dhalimu kama jiwe milele na milele sio leo,kesho na hata vizazi vyetu vijavyo.Nafunga katika Jina la YESU jina kuu kuliko majina yote.Nikiomba na kuamini hakika hakuna kiongozi dhalimu tena ataketokea katika taifa hili katika Jina la YESU Kristo ulie hai.! Nateketeza kwa moto ulao ! roho zote chafu za viongozi kama Sabaya bashite zisiinuke tena katika taifa hili milele na milele.Tukiomba na kuamini.Na KILA mmoja na aseme.Amee...ni !
 
Sema maendeleo ya Chato labda,
 
Ukimwaga damu na machozi ya watu usiwezi ishi miaka mingi kama JK na Mwinyi
 
Ujisemee binafsi, neno watanzania liondoe. Ni dai la kipuuzi unalolieleza, hasa kwa jamii iliyostaarabika yenye kujali utawala wa kisheria. Alikuwa zawadi kwa watu wa aina yako.
 
Innovative ideas hakika alikuwa rais...sijawahi kuona
 
Mradi wa mwl nyerere ulionekana Kama hauna dhamani but for now Marais wastaafu wanasifia kwamba hayati alikuwa na maono makubwa na nchi yake ..but sipendi viongoz wanafiki Kama hao...harray for the late Dr John pombe Magufuli
 

Jaribu kuwa mfuatiliaji wewe.. Wenzako wanalegeza masharti baada ya kuhakikisha wamechanja raia wao kwa kiwango kibwa, kwa akili yako wewe unadhani ni zile mbinu za kipumbavu, fuatilia tena.
 
Uko sahihi.sidhani kama atakuja kutokea tena wa vile kwenye uongozi.ni kweli kabisa ile ilikua zawadi Mungu alitupa tujifunze kua nafasi kubwa za uongozi sio za kuchezea ovyo kwa kuweka watu wasioeleweka kisa tu wanajua kufoka foka.Naamini hilo ni fundisho kubwa vizazi na vizazi na milele na milele.
 
Hatutaki hata banda ya miaka bilioni
 
Mkuu, nchi kama UK wanalegeza masharti ya kujikinga na Covid-19 baada ya kufikia lengo walilojiwekea la immunization, idadi ya waliopata vaccine ni kubwa na wamecover wale wote waliokua kwenye risk.

Sio kwamba wanalegeza masharti bila data.

Bora angeendelea kumsifu marehemu
Ila la kusema [emoji636] eti baada ya kuona chanjo na masks hazina msaada wowote, hapo kaongezea yake
Hajui watu wamepambana kufikia hapo
 
Kudadek....acheni masihala nyie. Yule hakua mtu. Alikua ni shetani kabisa. Binadamu asiye na huruma kwa kutaka watu waishi kwa hisia zake.

Unajua aliumiza wangapi? Alikua ni mtu mwenye roho mbaya asiyefaa kwenye jamii. Ni mtu mwenye wivu uliopitiliza. Dhuluma na chuki..

Aliua biashara za watu wengi sana. Aliharibu maisha ya watu wengi. Wahanga wa utawala wake hawaelewi moja wala mbili mpaka sasa

Kujenga jenga mavitu ndio mnaona alikua rais bora huku wananchi wakiangamia kiuchumi?

Kwa miaka 5 ya yule mtu, maisha yalikua ya tabu sana. Uhakika wa mlo mmoja ulikua ni wa tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…