Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

Hivi wewe mpumbavu sana kumbe
 
Never again Never kuongozwa na Mwendawazimu au legacy zake za hovyo. Never Never again..!
 
Alikua Mwendawazimu .. haitatokea tena , tunataka katiba mpya ili kuzibiti hizi legacy za hovyo.
 
Mkuu acha kusifia hio kitu kabisa

Tulilishwa matango haswaa

Yaani tuliwahi hata kuaminishwa kua papai lina korona na watu tukaanza kuogopa kula mapapai

Mara mbuzi, mara oil chafu.

Miyeyusho mitupu!
Umewekeza mno kwa wazungu jinga weww
 
Kweli inaweza kuchua miaka 100 au isitokee kabisa iwapo Katiba ya Warioba ikipitishwa na kuwa sheria katika nchi hii. We should never go back to the darkest error of mwendazake ever again.
 
Pigia msitari. Hata kama sikubaliani na Musiba, hapo kwenye unafiki wa CCM alikuwa sahihi 100%
Ndivyo ilivyo yaani maana ukijaribu kuangalia watu kama kina Kingwangalla walivyokana taaluma zao kusema watu wajifukize...

Na miezi michache baadae wakisema tena mitambo ya nyungu ivunjwe utabaki kushangaa
 
Kujifungia ndio nini mkuu!?
Uzuri sisi wenye akili tulimpuuza na tukaendelea kula zetu mapapai na nyama ya mbuzi

Kujifugia ndani / Lockdown. Kutotoka nje ili usiambukizwe kolona.




Alimpuuza nani? ..Yeye aliona vipimo vinavyopimwa pale mmaabara vilikuwa fake baada ya kupeleka papai nalo likaonekana lina kolona wakati ni uongo. Wapi alikwambia usile papai? Akili zako zinamapungufu kidogo.
 
Utakuwa ni mpuuzi ukijifanya uyaoni kwa maana hata vipofu wameyaona nashangaa ww mwenye macho au macho unayatumia kwa kazi nyingine?
Acha propaganda chafu maendeleo sio condom hadi utie mkono mfukoni ndo uyaone
 
Ukiona unaongea na mtu anashindwa hata kutamka au kuandika jina sahihi la ugonjwa wa korona ujue ni bure tu
Yaani korona unaita kolona!?
Pole sana
 
Majamaa yaliyotumbuliwa na JPM yatakuja hapa na matusi mengi ili yakupinge tu
Mimi maisha yangu yameboreka sana kipindi chake lakini sikuwai kuafiki ukatili ,uonevu na ubinafsi uliokuwa unaendelea.
Siyo miaka mia tu bali asitokee kabisa vizazi vyetu visije kutaabika na species kama hizo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Acgha uhuni na mihemko ya kisukuma!
Unamsemea;
mbaguzi, katili, mkabila/mkanda, mnyanyasaji, jeuri, uonevu, no maadili, mtaka sifa na kusifiwa! kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Hapo ni ilikulazimu hadi uandike kabila lake?
 
Hawa washamba wanataka kulazimisha Jiwe aonekane alikuwa genious..kitu ambacho hakiwezekani.
kadri unavyozidi kuupinga ukweli, ndivyo unavyozidi kujiaibisha!

Utapinga mandiko mangapi yanayomhusu JPM?

Pale sabasaba, Sanamu lake linajengwa, anza mandamano kupinga pia hilo!!
 
Watu ambao hawamkubali JIWE ni mafisadi wa kisiasa na mafisadi wa kiuchumi

Kama akina Mdude na wenzake wenye akili kama zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee!.
Kipengele cha Barakoa tu ndio unampa uhalali wa kusifia na kusahau mateso yote aliyowapa watu wengine.
 
Alichokuacho yeye ni ujasiri tu wa kufanya mambo kinyume na kwa uharibifu. Yule alikuwa mwizi, mwongo, muuwaji na mshirikina. Kw kweli Tanzania haihitaji tena Rais Mwendawazimu kama Magufuli

Tusimpime Rais SSH kwa kiwango cha Mwendazake, huyo alikuwa ni FAILURE na LAANA kubwa. Tumshukuru Mungu kwa kumfurusha mapema maana tungefika hata 2023, tungekuwa the WORST country
 
unazungumzia kujifukiza?
 
Mfuateni huko jehanam mkateseke naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…