Huenda ikachukua miaka 100 au isitokee kupata Rais kama Hayati Magufuli

Hata huku tunao wapumbavu wengi watakaoamini upuuzi ulioandika
 
Mungu aepushie mbali tusijepata tena mtu dizaini ile.
 
Inaweza isitokee kweli,kupata raisi anayejenga uwanja kijijini kwake,anayeiba kura ili abaki peke yake,...anayekopa kopa ovyo huku akisema anajenga kwa pesa zetu
 
Naona umeshakula machalari yako hapo na umeshashushia na mbege yako ya moto huku ukikumbuka utamu wa shughuli ya Sabaya kukunyang’anya mke wako Bwasheee😁
 
Uache kumkashifu Muumba, katika watanzania million 60, sema kuna vichwa tena zaidi ya MAGUFULI. The man was not so much special kama mnavyotaka kutuaminisha.

Kwa watu tulionao ndani ya mipaka yetu naimani tunao wazuri wengi kuliko MAGUFULI sema exposure na muda ndio kila kitu. ATASAULIKA tu. Trust Me

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona unaongea na mtu anashindwa hata kutamka au kuandika jina sahihi la ugonjwa wa korona ujue ni bure tu
Yaani korona unaita kolona!?
Pole sana
Kila mtu aandike anavyotaka.. Kama wewe hujaandika Corona badala yake ukaandika Korono na mimi hivyohivyo.
 
Asee mjadara kuhusu magufuli hautakaa uishe kwa sababu anaishi mioyoni mwa wote bila kujali itikadi ya vyama.
Ukiangalia hata post za leo ktk mitandao ya kijamii utagundua zinamhusu yeye ama kwa kumponda au kumsifia.
 
Kwanza mzalendo pekee ni mwalimu Nyerere, pili shujaa wetu ni mwalimu Nyerere cz amechagiza sana ktk harakat za ukomboz wa bara la Africa, tatu futa kauli yako kua haitatokea kupata Rais kama yeye wakat Tanzania tulishapata Rais shujaa mzalendo wa kweli kwa taifa letu ambae ni Julius Kambarage Nyerere full stop!!!
 
Ni kweli, japo kwa mtazamo tofauti. Inaweza kupita miaka 100 au 200 kabla ya kupata rais katili, mwenye roho mbaya kama mwendazake. Ibilisi katika sura ya binadamu! Asante Mungu kwa zawadi ya March 17!
 
kadri unavyozidi kuupinga ukweli, ndivyo unavyozidi kujiaibisha!

Utapinga mandiko mangapi yanayomhusu JPM?

Pale sabasaba, Sanamu lake linajengwa, anza mandamano kupinga pia hilo!!
Sanamu lake ni kwa sababu ya kumbukumbu ya aina ya forehead yake, Itafika wakati watu wenye vichwa vile wasipewe madaraka ya aina yoyote wala wasipewe wake.
 
Tunamuomba Mungu asitokee dikteta yeyeto tena
 
Katika watanzania million 60 tumetumia watu sita tu, tayari mmeshampa utukufu mwendazake?????[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na jiwe alizoea maisha ya ujanja ujanja mwizi wa kura mwizi wa uchaguzi hana tofauti na kibaka wa kawaida,vilevile usisahau kuwa alikuwa anaendesha magenge ya watekaji na kupiga risasi watu
 
Umemaliza Kila kitu the guy was a disgrace ,thanks god for divine intervention he is gone for good
 
Vyeti feki, wala rushwa, mafisadi, wakwepa kodi, watakatishaji fedha, wahujumu uchumi, wavivu, wadhulumaji, wezi hawatakuelewa watakubeza na kukukejeli
 
Bahati nzuri Mungu anatupenda hawezi akatuondolea jambazi tena akatuletea jambazi lingine la kutuumiza kama CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…