Huenda Joanfaith John Kataraia is best DED of the history, anajituma sana huyu binti

Utakuwa humfahamu vizuri wewe. Niishie tu hapo na kingine ninachojua kiumri kalingana na Jokate na yupo single kama Jokate.
Hayupo single kuna mzee.mmoja mfupi yuko ccm anapenda kuvaa pete za gold huwa anahang nae sana hata shopping mlimani city. Huyu mzee ni muhuni fulani hivi wale wazee vijana ndio anabulazaga huo mzigo.

Mtoto wa kihaya huyo haawachagi asili yao
 
Kwani hilo nalo ni kosa?

Kama wamependana kuna shida?
 
unaupiga mwingi bro. hereni inaongezea thamani ya milioni 3 kwa n'gombe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…