Huenda katibu mkuu wa TEC asirejee tena kwenye wadhifa wake

Siasa ni maisha ya watu, sio vibaya akawaeleza watu ukweli, hana unafiki. Kasisi yeyote anaeogopa kusema ukweli ni mnafiki na hafai katika kazi ya Mungu. Big up Kitima.
 
Kaka si tuliambiwa na Mwenyekiti tusichanganye dini na siasa
 
Huo mkataba ni wa muda gani?
Hata kama ungekuwa ni wa mwezi mmoja, wewe angalia deliverables and efficiencies.

Sasa hivi na Mwendokasi iliyofeli inakabidhiwa kwa kampuni kutoka UAE. Lengo ni kuleta tija. Kuwa chini ya Watanzania wavivu na wezi siyo sifa
 
Hata kama ungekuwa ni wa mwezi mmoja, wewe angalia deliverables and efficiencies.

Sasa hivi na Mwendokasi iliyofeli inakabidhiwa kwa kampuni kutoka UAE. Lengo ni kuleta tija. Kuwa chini ya Watanzania wavivu na wezi siyo sifa
Ila kuwa chini ya Serikali ya wapigaji ndo tija? Mkataba wa maisha? Mpaka misitu? Mpaka Uwanja wa ndege? Kwenye madini ndo usiseme. Trilioni 107, Mwigulu anakopa, pesa hazipiti hazina, zikija zinaingia kwenye matumizi moja kwa moja, akiulizwa hana majibu, anaishia kutuambia tu Deni ni Himilivu.
Your browser is not able to display this video.
 
Kama muumini wa Kanisa Catholic nasema hakuna kitu kama hicho.Kanisa Catholic ni Taasisi kubwa na imara haifanyi kazi kwa mashinikizo au mihemko.Kwa hiyo Fr.Kitima ataondoka baada ya kumaliza muda wake kwa kuwa ili kumuondoa unahitaji maamuzi ya mkutano wa maaskofu wote.
 
Tumsaidie kuwa maamuzi hayo yanatoka idara ya Liturujia na kupelekwa kwa maaskofu ili kuridhia hivyo hilo sio pendekezo la katibu ni la idara muhimu sana ya kanisa na ipo chini ya uongozi wa askofu.
 
Acha kuweweseka hovyo. Na kama umetumwa, waambie wakubwa wako TEC ni maji ya kina kirefu. Na kama ni kiherehere chako tu, basi ni vizuri ukatuliza mshono.
 
Bandari ndiyo Injili ya nani? Haya leo Bandari iko chini ya DP WORLD na huu ni mwaka wa pili.

Mlete Fr Kitima atuambie mapungufu ki muda wa kutoa mzigo, mapato ya Serikali na ajira kwa wazawa!!
Kumbe hata hujui mkataba wa awali wa DP world uliachwa na badala eneo la ushirikiano lilipunguzwa baada ya kelele leo DP world hawawezi kutupa masharti ya kuwa na exclusive right ya bandari zetu.Kelele zililete ushindi.
 
Kuna vitu mnavyowaza mnatamani kweli viwe kweli, wishful thinking...Kitima yupo palepale na ataongeza dozi kwa mashetani wote. Unafikiri TEC imeundwa na watu kama akina shehe ubwabwa?
 
Yaan katibu mkuu wa tec atoke ofisini kisa wazo lililokuijia ukiwa chooni.
 
Katoliki hawashikiwa akili kama wale ndugu zenu, hakuna askofu anaye shikiwa akili,
Wangekuwa hawashikiwi akili wasingekuwa wanafanya hivi tangu awali (kuwakumbatia wanasiasa na kuwapa airtime kanisani, baada ya wanasiasa kuwang'ata ndio wanakuka na makatazo). Hapo wameonesha weakness ya hali ya juu kwa hilo kanisa.
 
ZEZETA. Iko hivi ukienda kanisani sali ukimaliza pangusa matako Rudi kwako. Si mmeamua kuuwa watumishi mmemkosa kumuuwa Leo mnabinua midomo haondolewe akili zenu Kama kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…