Kwani misitu wewe ulikuwa unafanyia nini? Kuna mahali umetaka msitu umenyimwa? Mbona Tanzania yetu ina misitu nini sana? Kwanini tusifaidike na biashara ya carbon ambayo ni fedha ziko huko duniani kwa watu ambao wanechafua mazingira?Ila kuwa chini ya Serikali ya wapigaji ndo tija? Mkataba wa maisha? Mpaka misitu? Mpaka Uwanja wa ndege? Kwenye madini ndo usiseme. Trilioni 107, Mwigulu anakopa, pesa hazipiti hazina, zikija zinaingia kwenye matumizi moja kwa moja, akiulizwa hana majibu, anaishia kutuambia tu Deni ni Himilivu.
View attachment 3379011
Mlikuwa hamjasoma IGA vizuri, mlisoma kwa kumtegemea Tundu na mjomba wake Fr Kitima. Maana Tundu alisema mkataba ni wa miaka 100 nanyi mkaingia mkengeKumbe hata hujui mkataba wa awali wa DP world uliachwa na badala eneo la ushirikiano lilipunguzwa baada ya kelele leo DP world hawawezi kutupa masharti ya kuwa na exclusive right ya bandari zetu.Kelele zililete ushindi.
Wameharibu snWanachojua sana ni kujipendekeza.
Ni kifungu gani cha katiba kinachozuia viongozi wa dini wasitetee maslahi ya dini zao, au maslahi ya wananchi. Ni kifungu gani cha katiba kinachokataza kuchanganya siasa na dini.Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe umeniuliza kama nani?Wewe kama nani yaani!?
Ndio kisa cha kumtwanga na kitu kizito?.Kamati Kuu ya Chadema ilikuwa inafanyia vikao ofisini kwake. Ndiye alikuwa anasuluhisha Mbowe na Lissu huku akimzuia Mbowe asigombee.
Kwa kuwa yeye na Lissu ni wanyaturu, kajiapiza kwamba wanyaturu lazima waingie ikulu. Mikakati yake ya kulifanya kanisa liwe tawi la chadema inakwamishwa na baadhi ya maaskofu ambao wanafuata misingi ya kikatoliki. Hawataki mambo ya hovyo hovyo.
Labda alikuwa anagombea wanawakeNdio kisa cha kumtwanga na kitu kizito?.
Lete hapa copy uliyosoma tuione.Kwenye sheria usipoweka uko itatafsiriwa kwa umilele.Mlikuwa hamjasoma IGA vizuri, mlisoma kwa kumtegemea Tundu na mjomba wake Fr Kitima. Maana Tundu alisema mkataba ni wa miaka 100 nanyi mkaingia mkenge
na huyo katibu mkuu wa tec ndio analijengea kanisa katoliki sura hiyo mbaya yenye ubaguzi hasa wa kikabila ndani ya kanisa hilo katika imani,Wamtoe tu ili asije ligeuza kanisa kuwa jukwaa la kupigia na kusukuma ajenda za upinzani .
na anapenda chini huyo sg ni balaa 🐒Labda alikuwa anagombea wanawake
Ndiona huyo katibu mkuu wa tec ndio analijengea kanisa katoliki sura hiyo mbaya yenye ubaguzi hasa wa kikabila ndani ya kanisa hilo katika imani,
niemuhimu wakakiondoa hicho kivirus🐒
na anapenda chini huyo sg ni balaa 🐒
IGA ni kama MoU tu. IDAs are not legally binding, they express the commitment of governments to work together on certain objectives or goals.Lete hapa copy uliyosoma tuione.Kwenye sheria usipoweka uko itatafsiriwa kwa umilele.
Imekopi nimepeleka TECNi baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kuwanyonya waumini kwa sadaka,usipotoa huzikwi na kanisa,tofauti na kwa waislamu,uwe maskini au uwe tajiri,watoa sadaka,hutoi sadaka,utazikwa,na hakuna utofauti wa kuzikwa tajiri kwa Jeneza la kifahari,nyote mnazikwa kwenye Jeneza moja hilo hilo,na Sanda ya bei sawa.Na wakati hao waislamu wanamiliki Shule,hospital,mabenk.Zipo Aghakhan kuanzia shule,hospital vyuo,vyuo vikuu,mabenk (Diamond Trust bank),viwanda.Ukija Istiqama Islamic,wanamiliki shule,hospital,viwanda,mashamba makubwa,majumba ya ghorofa,vyuo.Ukija Ansaar Muslim wanamiliki mashule,vyuo,majumba,hospital,Ukija Bohora Muslim,wanamiliki shule,vyuo,mahospital nk.Ukija Bakwata ndio wenyewe kwa mashule,mahospital,vyuo,majengo nk.Bado kugusia Islamic Banking,zilizorapakaa Tanzania na duniani kote.Tungekuwa mbali sana kama hii nchi ingeongozwa na kanisa
Ukiangalia miradi ya kanisa kama vyuo, mahospitali na mabenki ni mikubwa, Na haitegemei pesa kutoka nje wala mikopo.
Wewe ni KIPOTOSHI. Kama unataka na kuzikwa kikatoliki masharti ni kama haya hapa; (1) Uwe ni Mkatoliki (yaani ulibatizwa na kukubali imani Katoliki (92) Unashiriki shughuli za Jumuiya (maana atakaye saini document ya kukutambulisha Kanisani ni Mwenyekiti wa Jumuiya yako)Kuwanyonya waumini kwa sadaka,usipotoa huzikwi na kanisa,tofauti na kwa waislamu,uwe maskini au uwe tajiri,watoa sadaka,hutoi sadaka,utazikwa,na hakuna utofauti wa kuzikwa tajiri kwa Jeneza la kifahari,nyote mnazikwa kwenye Jeneza moja hilo hilo,na Sanda ya bei sawa.
Bei ya hizo shule na hospital ni affordable kwa mwananchi ya hali ya chini..?..mpk bunge likahoji kwa nini taasisi za kanisa katoliki zinatoza huduma bei mbaya wananchi ilhali wanapewa nafuu nyng za kodi..?..walanguzi tu kama walanguzi wengine msilete ujinga wenuTungekuwa mbali sana kama hii nchi ingeongozwa na kanisa
Ukiangalia miradi ya kanisa kama vyuo, mahospitali na mabenki ni mikubwa, Na haitegemei pesa kutoka nje wala mikopo.
Hayo ni maagizo ya mtoto wa mungu Yesu au...ya kwenu ili muwapopoe na kuwatisha waumini?..hakuna hospital wala shule ambayo ipo affordable kwa kwa mwananchi wa hali chini ambayo inamilikiwa na kanisa katolikiWewe ni KIPOTOSHI. Kama unataka na kuzikwa kikatoliki masharti ni kama haya hapa; (1) Uwe ni Mkatoliki (yaani ulibatizwa na kukubali imani Katoliki (92) Unashiriki shughuli za Jumuiya (maana atakaye saini document ya kukutambulisha Kanisani ni Mwenyekiti wa Jumuiya yako)
Hakuna kapuku anayeweza kugusa hospital wala shule ya kanisa katoliki kupata huduma ya kijamii bei zao utasema wapo dunia nyngn...mpk bunge likahoji huduma zao zilivyo ghali ilhali wanapata unafuu wa kodi mwng tuu...hawawezi kushindana na serikali wkt wana majambo mengi tuu wanaingiza watataka mteremko kutoka serikalini..inshort katoliki na walanguzi na matapeli kama wengine tuuTungekuwa mbali sana kama hii nchi ingeongozwa na kanisa
Ukiangalia miradi ya kanisa kama vyuo, mahospitali na mabenki ni mikubwa, Na haitegemei pesa kutoka nje wala mikopo.
Yule ni KATIBU WA BARAZA LA MAASKOFU na kwenye vikao vyao ndo anaratibu. Katoliki syo pango la wahuni kama yalivyo makanisa mengine.Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.