Vipi watekaji,au wauaji sababu?Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kupambana na kanisa katoliki is like fighting a loosing battle.Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
NRNENi baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Heche yuko bize kanisani huko SDAMarufuku wanasiasa kuzungumza chochote madhabahuni, wakae nyuma huko.
Mwongooo🧕🥷 Mama teka tekaNi baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mwongooo🧕🥷 Mama tekaNi baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
mmeshaambiwa nyie wafi¥ji marufuku kukanyaga kanisani mkasali lumumba kwenye dangulo lenuNi baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwani bandari ni ya mama yakoUkatibu wa TEC wa Fr Kitima ulikuwa biased kwa kuwa ulikalia upande mmoja. Yeye alikuwa ni wakala wa Binamu yake Tundu ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA.
Uliona wapi Kanisa Katoliki linaiingilia na kukomaa kwenye issues za utendaji za Serikali? Yaani Fr Kitima badala ya kuhubiri na kutafsiri ufunuo wa Yohana akaishia kubishana mambo ya Bandari!!!???
Mbn waraka wa Papa Francis hawakuhoji kama kweli wamekamilika kiakili?Yule ni KATIBU WA BARAZA LA MAASKOFU na kwenye vikao vyao ndo anaratibu. Katoliki syo pango la wahuni kama yalivyo makanisa mengine.
Wangekuwa hawamtaki wangeshamuondoa au kumueleza humo humo ndani ya vikao. Hawaruhusu watu wajinga kama nyie kupata nafasi ya kuhoji ujinga wenu
Asa mbn Papa Francis ndo karudisha danguro rasmi kanisani kwny waraka wake au unajitoa fahamu...mmeshaambiwa nyie wafi¥ji marufuku kukanyaga kanisani mkasali lumumba kwenye dangulo lenu
Kwanza utaratibu wa wanasiasa kuzungumza Altareni haukua wa Kilitrujia. Mafundisho ya mama kanisa, yanazuia mtu asiye na Daraja katika Kanisa, kuhutubu kwenye Mimbari.Ni baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwani huo uamuzi wa kanisa la Tanzania, umekuja wakati sahihi ulianzishwa na nani ndani ya kanisa hilo?Kwanza utaratibu wa wanasiasa kuzungumza Altareni haukua wa Kilitrujia. Mafundisho ya mama kanisa, yanazuia mtu asiye na Daraja katika Kanisa, kuhutubu kwenye Mimbari.
Ndio maana, hata siku ya mazishi ya Pope Francis au siku ya Kuapishwa kwa Pope Leo, hukuona Wanasiasa wakipewa nafasi ya kuhutubia despite kwamba walikuwepo. Hata Mkatoliki mwenzetu Primier wa Italy, Georgia Meloni hakuruhusiwa.
Hivyo, uamuzi wa kanisa la Tanzania, umekuja wakati sahihi, ili kulinda heshima ya mama kanisa. Wana siasa wana majukwaa yao. Wakafanye siasa huko. Wakija kanisani, wakae wahubiriwe injili ya kweli. Kama wakiipokea itawaponya, wakikaidi, wataangamia.
#MSILETE SIASA KANISANI.
Yule wampeleke tu kwingineNi baada ya kuonekana na kulalamikiwa kwa kukumbatia siasa na harakati za kijamii zaidi, hususani katika humilia za misa na ibada zake zote anazoongoza tangu mwaka huu 2025 kuanza.
Mienendo yake imeonkana kuwakera baadhi ya makasisi, maaskofu na waamini wa kanisa hilo ambao wanaoonekana kugawanyika kutokana na hali hiyo yenye sura ya upendeleo wa kisiasa kwenye baadhi ya ibada na misa ndani ya kanisa hilo.
Marufuku ya salamu za viongozi wa kisiasa kanisani baada au kabla ya ibada, ni mabadiliko muhimu ndani ya kanisa hilo ambayo yanalenga kuliunganisha na kuwaleta pamoja viongizi na waamini wa kanisa hilo
Mathila yenye sura ya kisiasa aliokumbana nayo hivi majuzi yanatajwa kama miongoni mwa sababu zilizopelekea kuwekwa kando ya wadhifa huo.
Una maoni gani ndugu mdau 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mathayo 5:9 (KJV) Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.Ndiye alikuwa anasuluhisha Mbowe na Lissu
Hatujakulazmisha kufuata taratibu zetu, huwezi nenda TAG. Achana na Kanisa Takatifu Katoliki la MitumeHayo ni maagizo ya mtoto wa mungu Yesu au...ya kwenu ili muwapopoe na kuwatisha waumini?..hakuna hospital wala shule ambayo ipo affordable kwa kwa mwananchi wa hali chini ambayo inamilikiwa na kanisa katoliki
Yalikua ni mazoea tuu na haikua mandatory kwamba, kila mnaposali na kiongozi wa serikali, lazima apewe muda wa kutoa salam.kwani huo uamuzi wa kanisa la Tanzania, umekuja wakati sahihi ulianzishwa na nani ndani ya kanisa hilo?
ulianzishwa lini kama sio unafiki wa kuanzisha tatizo wenyewe na kulitatua wenyewe?