Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Niambie unatumiaje complex numbers hapo ulipo. Hizo calculus wanasoma bana zile applicable hawaingii deep Kama ulivyozama advance...
Vipi kuhusu biolojia na kemia ya advanced level haina umuhimu wa vijana wetu kusoma wakiwa advanced level?
 
Acheni kupotosha A-level ni hatua muhimu kujiandaa kwa masomo ya degree na siyo rahisi kwa vilaza wengi.
Hii ni level ya watu wenye Cognitive ability ya juu. Wengi ya hawa watu ni great thinkers. Vyuo vya ufundi huaandaa mafundi. Watu wa vitendo zaidi kuliko thinking.
 
Form 5 na 6 hazina faida yoyote.
Huko vyuoni wanapelekwa puta na walionzia vyuo.

Mtu kaanza certificate na kitu hicho, kana nacho diploma chuo anaserereka nacho . Huyu akiingia kazini ni innovator mzuri tu.

Sasa wewe o'level umesoma masomo 9, advance ukasoma HKL, kwakua una msingi mzuri wa hesabu, chuo ukasoma Banking & finance. Utakua sawa na alieanzia certificate kusomea hiyo banking & finance kweli???
 
Kwanza hiyo 5&6 ingefutwa,mtu akimaliza O-level ni moja kwa moja Kuchukua Elimu ya juu!
 
Msturity mkuu ndo inakufanya uweze kuwa na analytical capacity.
 
Tatizo lilianzia mwezi wa kwanza pale ambapo adolf mkenda waziri wa elimu alipoenda kwenye kongamano la new world order yeye na samia na mwigulu pamoja na makame haya ndiyo matokeo yake.

Huko mbeleni hatutaweza kuwa na madaktari makini, mainjinia, walimu yani fani zote zitajaa vilaza yote sababu ya mfumo. Na pia tuombe Mungu sana tuko hatarini kipindi hiki cha 6.
 
Kidato cha sita ni kupoteza muda tu, nimesoma kidato cha sita then chuo nikapangiwa DIT, kiufupi elimu ya advance sikuona umuhimu wake zaidi ya kupoteza muda tu na future za wale walioshindwa kuvuka kigingi cha NECTA
 
Mkuu hujui ubaloongea, kenya kuna watu wana akili na wanafanya mambo makubwa kuliko tz ila hawasomi f5 and 6
 
Elimu ya Tz kwa ujumla ni shida sana haimejengi mwanafunzi katika uelewa mara nyingi inahusisha kusoma mambo mengi ambayo hayana faida.

 Pamoja na yote mazingira na miundombinu duni sana vitu vya kufanya practical Lab unasomeshwa kama theory wewe ukariri tu , Lab moja wanafunzi kibao hakuna kuelewa hapo...
 
Kama mchekecho wa dp world unakosolewa hivi mitandaoni, unadhani hawa jamaa wa vietee watabaki bila plan b?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…