Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

Achakujidanganya, nemesoma chuo na hao waliopitia form 6 huo uwezo wa kufikiri kutuzidi sijauona tena walipata taabu sana kumaster mfumo wa usomaji wa chuo.
 
Hapo husevu chochote. Mtu aliyesoma Diploma miaka Mitatu akienda Bachela anasoma miaka mitatu. Na aliyesoma 5 na 6 akienda chuo kikuu anasoma miaka 4, kwa hiyo wote watatumia miaka 6.
Sio kweli mkuu.
 
Aliyekwambia Tanzania huwezi kuwa rubani na Form 4 ni nani?
 
Kuna vyuo havina hata wanafunzi..kwanini wakatae hizo d3 wakati ndo minimum requirement?..

Halafu sikia wewe kilaza...mimi nimepita advance na nikatoboa nikaenda medical school..usinichukulie poa
Na sasa uko wapi?
 
Wanafanya hivyo sababu ya Malipo ya mshahara
 
Na huo ndo ukweli
Mfano tokea form four alafu kuwa na malengo ya kusomea medical doctor ni bora ungepitia A level
Maana huko anapoenda anaenda pita njia ndefu ya miaka 9
 
Achakujidanganya, nemesoma chuo na hao waliopitia form 6 huo uwezo wa kufikiri kutuzidi sijauona tena walipata taabu sana kumaster mfumo wa usomaji wa chuo.
Waache walishane matangopori tu. Stori za watanzania hasa wa jf huwa zimeegemea katika nadharia tu, zikiwa tofauti sana na uhalisia.
 
Nasema 1.7 na sio 3.27😅
Ok. Sina namna naweza kukueleza ukaelewa. Sasa Hebu uje ufanye research.

NACTE wakishatoa selection, anza kufatilia matokeo ya form4 ya wanafunzi waliochagulia kwa direct entry hasa kwenye vyuo vya selikali uone 1.7 zilivyojazana huko.
 
Si ndo ufurahi sasa unaenda kuwa boss wao
 
wakuu kwani mtoto akienda chuo chakati miaka 3 uinjinia akimaliza hio miaka anaajiriwa au kuna Levi nyingine?
 
Madogo wamechachamaa hawataki utapeli wa kielimu, uende advance ili iweje? Form 5,6 ifutwe tu, ni utapeli tu na kupoteza muda
 
hata nikikuelewesha nadhani hutanielewa maana hujapita huko..sidhani kama unaijua hata advance chemistry au biology au physics ilivyo..

O level ni very shallow level mkuu..hamna chochote pale
Kaka kwani advance kuna pcm pekee??
Vipi kama nikisema kwa mujibu wako basi ni hao pPCkunani ndio hutakiwa kwenda advance na sio wengine, japo pia siamini hilo.

Maana vyuoni kuna foundation courses hawaanzii katikati, labda kama uwe kilaza pro max usiefatilia mambo.

Kuna mfano hapo nimeutoa kwa wale ambao advance kasoma kitu kingine na chuo anaenda kusoma kitu tofauti kabisa lakini anamaster, vipi kwa huyo fresh from form 4 ashindwe??
 
Ok. Sina namna naweza kukueleza ukaelewa. Sasa Hebu uje ufanye research.

NACTE wakishatoa selection, anza kufatilia matokeo ya form4 ya wanafunzi waliochagulia kwa direct entry hasa kwenye vyuo vya selikali uone 1.7 zilivyojazana huko.
Mm tayar najua hakuna na nna uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…