olando da costa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 505
- 379
Hata Yesu Alayhi Salaam ushahidi wote wa ndani ya Biblia unaonesha alipoingizwa ndani ya "chumba" au pango (sepulcher) cha kuzikiwa alikuwa yu hai. Maana hata kina Mary Magdalene alipokuja kuhakikisha, likathibitika hilo. la kuwa yu hai. Anaebisha hili asikurupuke, ni kwa ushahidi kabisa wa Biblia.
Kwa ufupi, unalosema linawezekana kwa sababu tofauti, kuna kesi nyingi za watu, hata madaktari wanahakikisha kafa, lakini bado yu mzima.
Tuwekee hapa hilo andiko la kwenye biblia tulisome