Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Yan huduma za afya zikiboreshwa kesi nyingi za aina hyo zitatatuliwa.Na kuna story Pale Lugalo kuna askari ailuguzwa muda mrefu tena alikua na cheo ,lakini palikuwepo doctor aliyefahamu vizuri tatizo la huyo mgonjwa..ikatokea akazidiwa siku moja madocta wakahangaika lakini wakashindwa hatimaye akaaga dunia ...walivyokua wanapanga mpango wa kumpeleka mochwari yule doctor aliyekua anafahamu vizuri shida ya yule mgonjwa akafika akasikitika sana akawaomba mwili akaenda chumba maalum akajifungia nae akaanza kuhangaika na ma vifaa, oksijeni na kila namna alivyoweza...baada ya masaa kadhaa moyo ukaanza kufanya kazi...baada ya masaa kupita akapiga chafya...nasikia ikaenda hadi akafumbua macho akaanza ongea...yule askari alipona kabisa...jamaa(doctor)alipata sifa nyingi ikiambatana na na cheo...
(Chanzo story ni dada mmoja aliyeishi pale lugalo barracks miaka hiyo)
Sasa happ jiulize ni wangapi wameisha zikwa ambao wameondoka.kama huyo asikari?