Msonjo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 1,356
- 2,342
Hakuna kupona hapo.Na cha kushangaza huyu anayecheleweshwa kuzikwa sio kwamba kawekwa sehemu anapewa huduma ili azinduke bali yupo kwenye friji..sasa sijui atazindukaje wakat yupo kwenye friji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kupona hapo.Na cha kushangaza huyu anayecheleweshwa kuzikwa sio kwamba kawekwa sehemu anapewa huduma ili azinduke bali yupo kwenye friji..sasa sijui atazindukaje wakat yupo kwenye friji
Hao munaowaweka nyinyi wiki,mwezi au miezi wamezirejea duniani? Kwanza kaa ukijua Muislamu akifa anaoshwa sasa katika kuoshwa kuna kusafishwa uchafu tumboni endapo mtu hajafa huo uchafu hautotoka mna misuli itakua haijaregeaNi utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana, ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila nina hakika kuna watu wengi wameshazikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakiwa kwenye coma, hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo.
Kuchelewa kuzika ni mbaya ila ina faida zake, maiti inaeza kupiga chafya. Mwaka 2012 mchezaji Fabrice muamba wa bolton wakicheza dhidi ya spurs alianguka uanjani na moyo wake ulisimama kwa dakika 78.
Referee howard webb aliahirisha mechi huku machozi yakimtoka, uwanja mzima ni huzuni madaktari wa kizungu na kudra za Mungu jamaa akaamka bwana na kustaafu mpira rasmi.
Angekuwa Afrika tungeshamsahau na mke wake angekuwa single mother tayari, ila jamaa anakula bata tu.
Are you msonjo from Moshi?Hakuna kupona hapo.
Sasa mbona title umeandika Waislamu? huoni umekosea toka mwanzo hapoUsiuchukulie huu uzi katika mlengo wa kidini bali katika muktadha wa kuwahi kuzikana na kukosa watalam wa kuthobitisga kifo.iwe mkristo au miislami
Hapana akhyAre you msonjo from Moshi?
kuna rfk angu anajiita msonjo ila ni mpare tuu nilidhani ni wwHapana akhy
Umemaliza mjadala.Hao munaowaweka nyinyi wiki,mwezi au miezi wamezirejea duniani? Kwanza kaa ukijua Muislamu akifa anaoshwa sasa katika kuoshwa kuna kusafishwa uchafu tumboni endapo mtu hajafa huo uchafu hautotoka mna misuli itakua haijaregea
Msipende kujadili mambo ambayo hamna elimu nayo mtu ikishathibitika kafa azikwe tuu mana hana lake hapa duniani ata mkikaa nae miezi mtagharamika nyinyi kwa kumtunza kila siku.
Mnawekana miezi ,wiki full gharama za kutunza maiti si bora mungetumia kwenye mambo ya maendeleo gharama zote hizo
Nb.Uislamu ni dini ya haki hata wakichukia wanaochukia lkn ukweli utabaki kua kweli diku zote
Huo utaratibu wa kuchelewa kuzika si mzuri kabisaHao munaowaweka nyinyi wiki,mwezi au miezi wamezirejea duniani? Kwanza kaa ukijua Muislamu akifa anaoshwa sasa katika kuoshwa kuna kusafishwa uchafu tumboni endapo mtu hajafa huo uchafu hautotoka mna misuli itakua haijaregea
Msipende kujadili mambo ambayo hamna elimu nayo mtu ikishathibitika kafa azikwe tuu mana hana lake hapa duniani ata mkikaa nae miezi mtagharamika nyinyi kwa kumtunza kila siku.
Mnawekana miezi ,wiki full gharama za kutunza maiti si bora mungetumia kwenye mambo ya maendeleo gharama zote hizo
Nb.Uislamu ni dini ya haki hata wakichukia wanaochukia lkn ukweli utabaki kua kweli diku zote
Hao munaowaweka nyinyi wiki,mwezi au miezi wamezirejea duniani? Kwanza kaa ukijua Muislamu akifa anaoshwa sasa katika kuoshwa kuna kusafishwa uchafu tumboni endapo mtu hajafa huo uchafu hautotoka mna misuli itakua haijaregea
Msipende kujadili mambo ambayo hamna elimu nayo mtu ikishathibitika kafa azikwe tuu mana hana lake hapa duniani ata mkikaa nae miezi mtagharamika nyinyi kwa kumtunza kila siku.
Mnawekana miezi ,wiki full gharama za kutunza maiti si bora mungetumia kwenye mambo ya maendeleo gharama zote hizo
Nb.Uislamu ni dini ya haki hata wakichukia wanaochukia lkn ukweli utabaki kua kweli diku zote
Mkuu kumkamua mtu kinyesi na kikatoka sio uthibitisho wa mtu kufa kisayansiHao munaowaweka nyinyi wiki,mwezi au miezi wamezirejea duniani? Kwanza kaa ukijua Muislamu akifa anaoshwa sasa katika kuoshwa kuna kusafishwa uchafu tumboni endapo mtu hajafa huo uchafu hautotoka mna misuli itakua haijaregea
Msipende kujadili mambo ambayo hamna elimu nayo mtu ikishathibitika kafa azikwe tuu mana hana lake hapa duniani ata mkikaa nae miezi mtagharamika nyinyi kwa kumtunza kila siku.
Mnawekana miezi ,wiki full gharama za kutunza maiti si bora mungetumia kwenye mambo ya maendeleo gharama zote hizo
Nb.Uislamu ni dini ya haki hata wakichukia wanaochukia lkn ukweli utabaki kua kweli diku zote
Da pole sana,nadhani huo mfano wako umefunga mjadala,bila kujali dini mtu akianguka apelekwe hospitali kwanza daktari athibitishe kifo,kuwaamini sana hawa wazee wetu walah tunazkwa sana tungali haiHaya mambo hutokea kwa dini zote
Isipokuwa kwenye uislam kuna kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kutokea kwasababu ya muda wa kuzika
Nilikuaga na demu wangu wa kiislam, siku moja ghafla tu mida saa 4 akaanguka wakaitwa wazee wakam check pale wakasema tayari amekufa
Ikatokea sintofahamu pale apelekwe hospital kwa vipimo zaidi lakini kufika saa 7 mchana nadhani, tukawa tumeisha mbebesha tani za kutosha za mchanga kaburini
Hadi leo hii huwa naamini yule bint labda tulimuwahisha aisee
Huko vijijini hospitali zilipo mbali wanazikana sana hai bila kujua
Mm nipo kiimani zaidi kwaio kma unaamini sayansi mm naamini Imani zaidiMkuu kumkamua mtu kinyesi na kikatoka sio uthibitisho wa mtu kufa kisayansi
Watu wanagharamika mpk ukimaliza msiba account ni nyeupeeeHuo utaratibu wa kuchelewa kuzika si mzuri kabisa
Lakini mkuu ni wewe ndio umesema hivyo kutetea hoja yakoMm nipo kiimani zaidi kwaio kma unaamini sayansi mm naamini Imani zaidi
Ww ni mkristo au Muislamu?Lakini mkuu ni wewe ndio umesema hivyo kutetea hoja yako
Vitabu havijasema kama akitoka uchafu maana yake ndio uthibitisho wa kifo
Vitabu vinasema mtu akifa kabla hajazikwa asafishwe
Hapa cha kujiuliza, kwa wasio kuwa na utaratibu wa kiislamu, yamesha ripotiwa matukio mangapi, ya watu waliotangazwa kufariki na baada ya siku kadhaa, akamka tena.Kabisa hilo nakubaliana na wewe
Tena kwa africa ndio usiseme tumezika wagonjwa wengi sana waliozimia
Taarifa ya mtu kufa inatangazwa asubuhi kua mgonjwa amekufa alfajiri halafu saa 7 mchana watu wanapanga reli
Kuna jamaa kitunda alikuwa fundi umeme kafa saa sita mchana jion saa kumi tukamzika ananiuma nadhan kama alizimia hivi dahNi utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana, ukikata moto asubuhi mchana tunazika