Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Una bahati kwaresma imeingia. Pole binti
kwenye keyboard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye keyboard
Unaogopa kuwa chewed kimasihara?
Ngoja waamke watakupa muongozoNi utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana,ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila utaratibu huu nina hakika kuna mamilioni walizikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakuwa kwenye coma,hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo
Chelewa chelewa ni mbaya ila ina faida zake,maiti inaeza kupiga chafya
Mwaka 2012 mchezaji fabrice muamba wa bolton wakicheza dhidi ya spurs alianguka uanjani na moyo wake ulusimama kwa dakika 78.referee howard webb aliahirisha mechi huku machozi yakinroka,uwanja mzima ni huzuni.madaktari wa kizungu na kudra za Mungu jamaa akaamka bwana na kustaafu mpira rasmi.
Angekuwa afrika tungeshamsahau na mke wake angekuwa single mother tayari,ila jamaa anakula bata tu
Dini ya majahazi na makobaziACHA KUIZUNGUMZIA DINI YA HAKI WEWEEEE
Maamuma watakushambulia hadi ukome
Angekuwa afrika tungeshamsahau na mke wake angekuwa single mother tayari,ila jamaa anakula bata tu[emoji23]Ni utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana,ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila utaratibu huu nina hakika kuna mamilioni walizikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakuwa kwenye coma,hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo
Chelewa chelewa ni mbaya ila ina faida zake,maiti inaeza kupiga chafya
Mwaka 2012 mchezaji fabrice muamba wa bolton wakicheza dhidi ya spurs alianguka uanjani na moyo wake ulusimama kwa dakika 78.referee howard webb aliahirisha mechi huku machozi yakinroka,uwanja mzima ni huzuni.madaktari wa kizungu na kudra za Mungu jamaa akaamka bwana na kustaafu mpira rasmi.
Angekuwa afrika tungeshamsahau na mke wake angekuwa single mother tayari,ila jamaa anakula bata tu
Kuzikana kuzika tu uzikwe hai au mfu wt futi cta inatusubiri
Haya mkuu mimi RWANTANG nimekuja rusha vi scud vyako nikuzawadie li ICBM moja tuuNiko full loaded,helmet,silaha za kivita wache waje
Nyie jamaa wagomvi sana aisee[emoji28][emoji28]Tumswalie mtume
Acha kauli zako za kejeli, Eti 'maamuma',ACHA KUIZUNGUMZIA DINI YA HAKI WEWEEEE
Maamuma watakushambulia hadi ukome
Kwani wewe u nashauri tusubiri siku ngapi kujua kama mzima au la??Ni utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana,ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila utaratibu huu nina hakika kuna mamilioni walizikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakuwa kwenye coma,hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo
Chelewa chelewa ni mbaya ila ina faida zake,maiti inaeza kupiga chafya
Mwaka 2012 mchezaji fabrice muamba wa bolton wakicheza dhidi ya spurs alianguka uanjani na moyo wake ulusimama kwa dakika 78.referee howard webb aliahirisha mechi huku machozi yakinroka,uwanja mzima ni huzuni.madaktari wa kizungu na kudra za Mungu jamaa akaamka bwana na kustaafu mpira rasmi.
Angekuwa afrika tungeshamsahau na mke wake angekuwa single mother tayari,ila jamaa anakula bata tu
Ametoa mfano wa mchezjiWalikupaje taarifa?
Iko hivi..huwezi kusema fulani amekufa kisa tu haitikii au anekuwa wa baridi,kuna vifaa vya kupima mapigo ya noyo,msukumo wa damu na ubongo kama unarespond ndio vinatoa majibu ya uhakika.huyo mchezaji moyo ulisimama kabisa ila kuna kitu wazungu walipima wakasema huyu bado mzima,wakampiga shoti sijui wanajua wenyewe akaamka.ingekuwa bongo kwenye barafu kitamboHivi madaktari huwa wanafanya juhudi za kumuookoa yule ambaye wanaona ameshakufa? Au mimi ndio sijakuelewa?
Kwani kifo huthibitishwa vipi?
Na kwa pointi yako inamaana juhudi zifanyike hata kwa yule ambaye tunaona ameshakufa, hiyo maana yake hatuwezi kuthibitisha kifo.