Ni utaratibu mzuri sana wa kuwahi kuzikana,ukikata moto asubuhi mchana tunazika
Ila nina hakika kuna watu wengi wa meshazikwa Ili hali wakiwa wamezimia au wakiwa kwenye coma,hasa vijijini pasipo na hospitali na daktari wa kuthibitisha kifo
Kuchelewa kuzika ni mbaya ila ina faida zake,maiti inaeza kupiga chafya
Mwaka 2012 mchezaji fabrice muamba wa bolton wakicheza dhidi ya spurs alianguka uanjani na moyo wake ulusimama kwa dakika 78.
Referee howard webb aliahirisha mechi huku machozi yakinroka,uwanja mzima ni huzuni madaktari wa kizungu na kudra za Mungu jamaa akaamka bwana na kustaafu mpira rasmi.
Angekuwa afrika tungeshamsahau na mke wake angekuwa single mother tayari,ila jamaa anakula bata tu