Huenda kuna waislam wengi duniani wameshazikwa wakiwa hai

Huenda kuna waislam wengi duniani wameshazikwa wakiwa hai

Mbaya zaidi wakati wanajadiliana 'huyu tayari, saa tisa alasiri tumpige chepe' wewe unawasikia ila huna cha kufanya 😎😎😎
Wewe pia unaingizwa katika mijadala hii ya kipumbavu??

Mbona unaonekana kuwa Bora kuliko hivi??

Waachie hawa vijana wadogo haya mambo ya kipumbavu. You are better than this.
 
Hii inshu sio kwa waislam tu hii inahusu jamii zote zakimasikini. Kama hamna huduma za afya afya za uhakika kuzikana wazima wazima ni jambo la kawaida ata ulaya miaka hiyo walikuwa wanazikana wazima had wakaanza kuweka kengere kwenye makaburi.
Ebwanae dah
 
Wewe pia unaingizwa katika mijadala hii ya kipumbavu??

Mbona unaonekana kuwa Bora kuliko hivi??

Waachie hawa vijana wadogo haya mambo ya kipumbavu. You are better than this.
Huu mjadala sio wa kipumbavu we kubali africa tunazikana sana tukiwa tumezimia au kwenye coma
 
Mbona hatuoni waliowekwa kwenye friji wakifufuka au mlinzi huwa anawapiga nyundo
kuna kesi moja nazani mwaka juzi kuna kijana mmoja alikua panya road akapigwa mbagala huko wakajua kafa wakampeleka temeke hospital akazindukia mochwali akaongea kila kitu wakakuta ni mwanafunzi wa form two hadi wazazi wake walitaitiwa video iko you tube nazani
 
Sasa unazungumzia Africa au unazungumzia Waislam??

Mijadala ya kukashifu imani za watu ni wa kipumbavu. Unafanya hivyo ili upate nini?? Ili uonekane mchekeshaji mzuri au??
Kuna watu wameharibu mjadala kwa kuleta kejeli,na wewe umepenic mno wakati unajua watu kama hao hawakosi,relax hakuna dini bora zaidi ya ingine
 
Mbaya zaidi wakati wanajadiliana 'huyu tayari, saa tisa alasiri tumpige chepe' wewe unawasikia ila huna cha kufanya 😎😎😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee abdallah alizimia siku 3 ...ustadh mmoja akaamuru mzee atolewe kitandani aoshwe na aswaliwe sala ya mayyit....wakati tunampeleka mzee abdallah kumzika akiwa ndani ya jeneza si akakohoa na kupiga chafya..aisee watu tulipoteana kwa kukimbia tukamuacha mzee abdallah ndani ya janayza....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii iliwahi kutokea kwetu wallah. Ila muhusika alikua mkristo.
 
Hapa cha muhim sio kuwai kuzika wala kuchelewa kuzika, issue ni kuboresha huduma za afya mda mwingne moyo kusimama sio kufa. Maana mnaweza zika mtu mzima kwa haraka ama mkamuua mtu pamoja na kuchelewa kuzika pia.
 
Kabisa hilo nakubaliana na wewe

Tena kwa africa ndio usiseme tumezika wagonjwa wengi sana waliozimia

Taarifa ya mtu kufa inatangazwa asubuhi kua mgonjwa amekufa alfajiri halafu saa 7 mchana watu wanapanga reli
Hahahah
 
kuna kesi moja nazani mwaka juzi kuna kijana mmoja alikua panya road akapigwa mbagala huko wakajua kafa wakampeleka temeke hospital akazindukia mochwali akaongea kila kitu wakakuta ni mwanafunzi wa form two hadi wazazi wake walitaitiwa video iko you tube nazani
Kheeeeeh ingekua kijijini angeshafukiwa chini wallah. [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom