Huenda kuna waislam wengi duniani wameshazikwa wakiwa hai

Vipi kama nitasema wale ambao hucheleweshwa kuzikwa wachunguzwe zaidi huwenda bado hawajafa, nitakuwa nimekosea?

Na kama nimekosea hivyo kuna tofauti gani ya kumzika huyo mtu masaa machache baada ya kufa au kumzika baada ya masiku kadhaa?

Otherwise useme waislamu hawawezi kuthibitisha kama mtu amekufa, hapo tutakulewa tu kuwa umeamua kutukandia.
 
Kuna cases anbazo doctor pekee ndio anaweza kuthibitisha kifo. hii ni hata wakristo wa sehemu ambazo hazina hospitali inaweza kuwakuta.sema ile delay kidogo huwezi jua mtu akapiga chafya
 
Iko hivi..huwezi kusema fulani amekufa kisa tu haitikii au anekuwa wa baridi,kuna vifaa vya kupima mapigo ya noyo,msukumo wa damu na ubongo kama unarespond ndio vinatoa majibu ya uhakika.huyo mchezaji moyo ulisimama kabisa ila kuna kitu wazungu walipima wakasema huyu bado mzima,wakampiga shoti sijui wanajua wenyewe akaamka.ingekuwa bongo kwenye barafu kitambo
Hivyo hapahoja sio waislamu bali ni hivyo vifaa vitumike ili kubaini kama mtu kweli amekufa.

Na kama ni hivyo basi sidhani kama hata wasiokuwa waislamu hutumia hivyo vifaa.

Kwa sababu kwa hali kama hiyo ya moyo kusimama sio kama mtu huzinduka baada ya muda fulani bali kuna juhudi za kitabibu hufanyika, na ndio kama ulivyosema hapo " walimpiga shoti".
Hivyo hizo juhudi zisipofanyika basi huyo mtu hupoteza maisha kabisa.

Na kama ni hivyo basi hata wasiokuwa waislamu wanaingia hapa, au unataka kusema waislamu huwa tunamzika mtu bila ya kuthibitisha kama amekufa kwa hoja hii.

Basi kama ni hivyo na sisi tutasema wasiokuwa waislamu huwa wanaami watu wamekufa ikiwa bado wako hai na mwishowe huwazika[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ahaaaa hoja hapa ni wale wanazindika wenyewe kwa kudra za mwenyezi Mungu
 
Kuna cases anbazo doctor pekee ndio anaweza kuthibitisha kifo. hii ni hata wakristo wa sehemu ambazo hazina hospitali inaweza kuwakuta.sema ile delay kidogo huwezi jua mtu akapiga chafya
Hivyo asipopiga chafya nao watamzika.

Sasa usitushutumu waislamu kwa kuwahi kumzika maana hata na sisi akipiga chafya hatutomzika.

Hivyo hapa ni suala tu la marehemu atapiga chafya muda gani ili kuokoa maisha yeke[emoji23][emoji23][emoji23] sawasawa awe muislamu au sio muislamu.

Au unataka kusema maiti wa kiislamu huchelewa kipiga chafya[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kuna jamaa alikata moto wakapeleka mochwari wakati wanadubiri doctor aje athibitishe kifo ili wamuweke kwrnye friji ile baridi ya kule jamaa akafumbua macho
Alisikia baridi kali mwili ukasisimka
 
Ahaaaa hoja hapa ni wale wanazindika wenyewe kwa kudra za mwenyezi Mungu
Hivyo tukiwazika nayo itakuwa kwa kudra za mwenyezimungu, hivyo usitulaumu.

By the way hoja ulikuwa unahoja ila umekosea kuliweka kwa kututarget waislamu ilhali hatuna kosa lolote.
 
Ahaa sikuwa na nia mbaya tusameheane sheikh utararibu wenu wakuzika fasta naukubali sana
 
Vipi kama nitasema wale ambao hucheleweshwa kuzikwa wachunguzwe zaidi huwenda bado hawajafa, nitakuwa nimekosea?

Na kama nimekosea hivyo kuna tofauti gani ya kumzika huyo mtu masaa machache baada ya kufa au kumzika baada ya masiku kadhaa?

Otherwise useme waislamu hawawezi kuthibitisha kama mtu amekufa, hapo tutakulewa tu kuwa umeamua kutukandia.
Kwan waislamu wakifa anayethibitisha kifo ni mwislamu
 
Kama unashindwa kutambua tofauti ya mfu na mtu aliezimia basi wewe unamatatizo makubwa.

Na ukiachana na Fabrice tutajie mkristo mwingine aliepiga chafya akazinduka na ilikua baada ya muda gani?
 
QURAN 109: 1-6

1." Sema: Enyi makafiri!

2. Mimi siabudu mnacho kiabudu nyinyi;

3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu mimi.

4. Wala mimi sitaabudu mnacho kiabudu nyinyi.

5. Wala nyinyi hamta abudu ninaye muabudu mimi.

6. Nyinyi mna dini yenu, na mimi nina dini yangu. "
 
Nadhani waislam wana vitu vya kuangalia (according to mafundisho) ili kuthibitisha kua mtu kafariki. Moja wapo ya hivyo vitu ni kwamba ukifungua jicho la mtu ambaye unadhani kafariki then ukajiona kwenye kiini cha jicho jua hajafa, ukiona kiini cha jicho hakioneshi image yako jua kasha rest in peace na anatakiwa akapumzike kwenye nyumba yake mapema sana.
 
Kila binadamu kazaliwa akiwa muislam alafu wewe sijui unaongea nn
 
Back
Top Bottom