Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni taarifa njema sana kwa kijana Lucas Mwashambwa, fursa inaweza kujitokeza hapa na akajiluta kuambulia cheo hapo.Wateuliwa amani iwe kwenu,
Wakati Mhe Rais anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini Mimi Wacha niwalaumu kidogo na endapo utasalia rekebisha hili,
Viongozi wetu, Miongoni mwenu mmegeuka mabubu, leo wala hakuna anayemtetea Rais Wala Serikali yenu,wote mmepiga kimya,
Viongozi wetu, Wengi wenu mmekuwa mkijifanya wanaSerikali zaidi ya wanachama hata sare za Chama hamvai eti nyie ni Serikali,
Viongozi wetu, Wakati wa JPM mlikuwa wasemaji wazuri wa miradi ya Serikali Ila leo mmegeuka mabubu kwa vigezo eti Mama hataki kusemewa vizuri kwa wananchi,
Viongozi wetu, Sisi wanachama/Wananchi Tunahitaji viongozi watendaji na wasemaji, Haiwezekani Mkuu wa Mkoa au Waziri hana akaunti mtandaoni hata moja,
Viongozi wetu,Leo zaidi ya Watanzania 25m wanamiliki simu Janja,Wewe huna akaunti hata ya kupost barabara inayojengwa kwenye eneo lako kisa eti Wewe ni RC au Waziri,
Viongozi wetu,Mtakumbuka Rais wa nchi kubwa kama Donald Trump alitumia mtandao wa tweeter tu kuongoza nchi, Leo Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anayo akaunti Official tweeter Wewe DED huna ata akaunti moja kisa eti ni boss,
Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao,Mawaziri, RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi, Mmegeuka mabubu ghafla baada ya kifo cha JPM, Why?
View attachment 2440539
Why na wewe usije CCM uje kupambania hizo fursaHii ni taarifa njema sana kwa kijana Lucas Mwashambwa, fursa inaweza kujitokeza hapa na akajiluta kuambulia cheo hapo.
Ni vyema akaongeza juhudi binafsi za kushusha nyuzi nyingi zenye kuonyesha mazuri ya chama tawala. Na siyo vibaya kama akitupia na wasifu wake hapa pia, endapo anahisi yupo mbali sana waridi.
Acha hizi Chuki zitakuua Wewe Kaka
Wasemee nini wakati hakuna kinachofanyika?,Wateuliwa amani iwe kwenu,
Wakati Mhe Rais anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini Mimi Wacha niwalaumu kidogo na endapo utasalia rekebisha hili,
Viongozi wetu, Miongoni mwenu mmegeuka mabubu, leo wala hakuna anayemtetea Rais Wala Serikali yenu,wote mmepiga kimya,
Viongozi wetu, Wengi wenu mmekuwa mkijifanya wanaSerikali zaidi ya wanachama hata sare za Chama hamvai eti nyie ni Serikali,
Viongozi wetu, Wakati wa JPM mlikuwa wasemaji wazuri wa miradi ya Serikali Ila leo mmegeuka mabubu kwa vigezo eti Mama hataki kusemewa vizuri kwa wananchi,
Viongozi wetu, Sisi wanachama/Wananchi Tunahitaji viongozi watendaji na wasemaji, Haiwezekani Mkuu wa Mkoa au Waziri hana akaunti mtandaoni hata moja,
Viongozi wetu,Leo zaidi ya Watanzania 25m wanamiliki simu Janja,Wewe huna akaunti hata ya kupost barabara inayojengwa kwenye eneo lako kisa eti Wewe ni RC au Waziri,
Viongozi wetu,Mtakumbuka Rais wa nchi kubwa kama Donald Trump alitumia mtandao wa tweeter tu kuongoza nchi, Leo Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anayo akaunti Official tweeter Wewe DED huna ata akaunti moja kisa eti ni boss,
Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao,Mawaziri, RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi, Mmegeuka mabubu ghafla baada ya kifo cha JPM, Why?
View attachment 2440539
Bila Mungu wa Kweli hakuna mwanadamu atakayeweza kupiga hatua yeyote hata kwa lazima.Wateuliwa amani iwe kwenu,

Wewe nini kinakutesa?Kwahiyo hayo mabadiliko mtafanya ili kupata watu wa kumsifia rais? Nilidhani mabadiliko ni ili kuongeza utendaji, kumbe ni kuimarisha uchawa!
Kwahiyo hayo mabadiliko mtafanya ili kupata watu wa kumsifia rais? Nilidhani mabadiliko ni ili kuongeza utendaji, kumbe ni kuimarisha uchawa!
Wewe nini kinakutesa?
Njoo CCM tufurahi pamoja,Kinachonitesa ni hicho kinachokufarahisha.
Siishi kwa kutegemea mbeleko.Njoo CCM tufurahi pamoja,
Sasa hiana za nini mtoto wa kiumbe?Siishi kwa kutegemea mbeleko.
Maisha ya uchawa mnayaweza nyie CCM wa siku hizi. Enzi hizo tukiwa, chipukizi, UV CCM ya kina Dr. Nchimbi na hatimaye CCM ya Baba wa Taifa na Mzee Mwinyi, hakukuwa na upuuzi na unafiki huo.Why na wewe usije CCM uje kupambania hizo fursa
CCM NI WAADILIFU SANA, WENGI WA VIONGOZI NI WACHAMUNGU SANAMaisha ya uchawa mnayaweza nyie CCM wa siku hizi. Enzi hizo tukiwa, chipukizi, UV CCM ya kina Dr. Nchimbi na hatimaye CCM ya Baba wa Taifa na Mzee Mwinyi, hakukuwa na upuuzi na unafiki huo.
Niliipenda na kuiunga CCM kwa dhati kabisa kama mwanachama wa kawaida tu na wala sikuwa na interest yoyote ya kutaka kupata cheo cha kisiasa ndani yake. Kuanzia awamu ya Mkapa nilipoteza hamu yote juu ya chama hiki, ndiyo maana nikaamua kwanza kuiunga mkono NCCR Mageuzi miaka ya 90s na kisha hatimaye kuhamia CDM, ambayo sera zake na itikadi yake naviunga mkono mpaka hivi sasa.
Kamwe siwezi kukaa upande wa chama kisichokuwa na dira wala muelekeo. Chama ambacho ambacho kinaishi tu kwa mazoea kutokana na mbeleko la vyombo vya dola. Chama ambacho kimesaliti nia njema za waasisi wake juu ya maslahi mapana ya nchi hii.
Ukiamua kuwa upande wa dhalimu, nawe pia ni sehemu ya huo. Bali ukiamua kuwa upande wa wapenda haki, utu na maendeleo ya kweli, basi nawe pia utakuwa upande sahihi wa wazalendo wa kweli.
Nitakuja kuiunga CCM endapo tu labda kama itarudi katika misingi ya uaminifu iliyowekwa na waasisi wake. Na endapo ikachagua viongozi ambao ni wazalendo wa kweli na kulitosa kundi la wezi ambao wanalindana na kufuja bila haya rasilimali za nchi hii.
Hawa watawala wa sasa ni wababaishaji tu,na wapo kwa ajili ya maslahi yao, ya familia zao na ya network zao za wizi na upigaji mali za umma tu. Ndege wenye mabawa ya kufanana huruka kwa pamoja, nami mbawa zangu si za kidhalimu.
Kama amefanya vizuri hana sababu ya kuogopaUzi wa namna hii unasababisha mama zuri Countrywide anapata tumbo la kuhara damu.
NB:
Mataga uaneni.
Kama hii ndio dira ya chama/Rais basi kazi tunayo.Wateuliwa amani iwe kwenu,
Huenda wakati Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini Mimi Wacha niwalaumu kidogo na endapo Wewe utasalia rekebisha hili,
Viongozi wetu, Miongoni mwenu mmegeuka mabubu ghafla tu baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli , leo wala hakuna anayemtetea Rais Samia Suluhu Wala Serikali yetu,wote mmepiga kimya,Sijui ni kwa bahati mbaya au ni kwa kusudio!!??
Viongozi wetu, Wengi wenu mmekuwa mkijifanya nyie ni Wana-Serikali zaidi ya kuwa wanachama hata sare za Chama wengi wenu hamna na hamvai eti nyie ni Serikali,
Viongozi wetu, Tunakumbuka wakati wa JPM mlikuwa wasemaji wazuri sana wa miradi ya Serikali Ila leo mmegeuka mabubu kwa vigezo eti Mama hataki kusemewa vizuri kwa wananchi hili nani kawaambia na lini?
Viongozi wetu, Sisi wanachama/Wananchi tunahitaji viongozi walio Watendaji na Wasemaji, Haiwezekani Mkuu wa Mkoa au Waziri hana hata akaunti moja mtandaoni,
Viongozi wetu,Leo zaidi ya Watanzania 25m wanamiliki simu Janja,Wewe kiongozi wao huna akaunti hata ya kupost barabara inayojengwa kwenye eneo lako kisa eti Wewe ni RC au Waziri unatuchelewesha sana,
Viongozi wetu,Mtakumbuka Rais wa nchi kubwa kama Donald Trump alitumia mtandao wa tweeter tu kuongoza nchi kubwa kama Marekani why Wewe mwenye Wilaya tu,
Sote tunafahamu Rais wa JMT Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anayo akaunti Official kule tweeter Wewe DED huna ata akaunti moja kisa eti ni boss hakika kwenye karne hii 21 Wewe haustahili tupishe,
Sasa, huenda mabadiliko makubwa yakafanywa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndani ya Serikali muda mfupi ujao nyie Mawaziri, RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi, Mmegeuka mabubu ghafla baada ya kifo cha JPM lazima muwajibike kwenye hili,
[Kidumu chama cha Mapinduzi ]
View attachment 2440539
Wateuliwa amani iwe kwenu,