Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mavi yanawagonga siyo, na bado hamjasema NRNE.Ukata wa wa fedha wa kiwango kibaya zaidi kuwahi kukikumba chama hicho watajwa. Hali imekua mbaya zaidi baada ya uongozi batili wa Chadema kukosa sifa za kuaccess ruzuku.
Na uchangiaji kwenye vibakuli wadoda. Wananchi wagoma kufanywa kitega uchumi. Wanachama hawauamini uongozi mpya wa Chadema tena baada ya kulamba pesa yote ya tone tone kidigitali, kimya kimya.
Viongozi kurejea HQ kutoka mikoani kwa mabasi ya kuunga unga, nauli zawa changamoto.
My friends, ladies and gentleman,
kua rejectedi na wananchi kwa hali na mali ni kitu mbaya sana.
Pole chadema, hongera sana wanachadema kujitambua na kukataa kubebwa ufala wa kifikra na kufanywa kitega uchumi cha viongozi wa chadema, familia zao na maisha yao
Mungu Ibariki Tanzania
No reforms no electionkukosa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani ni kitu mbaya zaidi gentleman.
Pole aise π
Haya Gentleman....!!!Punguza Kujishtukia Wakiume Wewe....kunywa na maji kidogo gentleman kutuliza maumivu ya kuona ukweli ukielezwa bayana π
NO REFORM NO ELECTIONhiyo nonsense mbona karibu wenzako wote wameachana nayo umebaki wew mshupaza shingo gentleman π
NO REFORM NO ELECTIONhuna haja ya kuropoka mambo chafu chafu gentleman ikiwa huna pweinti,
relax tu na itapendeza zaidi π
Safari hii mnapelekewa moto kwenye vinyeo vyenuhuna haja ya kuropoka mambo chafu chafu gentleman ikiwa huna pweinti,
relax tu na itapendeza zaidi π
NO REFORM NO ELECTIONYenyewe si ndio imeuawa na viongozi waropkaji wasio na maono gentleman?π