Kidatu ni jimbo la Mikumi, na Ni wilaya ya Kilosa. Ata Posta box zao ni Kidatu - Mikumi. Sasa kama Mpaka ni Mto maana yake Kiwanda na baadhi ya Mashamba yatakua Morogoro, Ila mashamba mengi yatakua Kilombero.Kilombero sugar Mashamba yao yapo kilombero na hata kiwanda kwa sasa kinahesabika kipo kilombero sio kilosa
Bora niwe DC wa ifakara Asante MunguDuru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.
Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Kidatu ni jimbo la Mikumi, na Ni wilaya ya Kilosa. Ata Posta box zao ni Kidatu - Mikumi. Sasa kama Mpaka ni Mto maana yake Kiwanda na baadhi ya Mashamba yatakua Morogoro, Ila mashamba mengi yatakua Kilombero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidatu ipi hiyo ipo mikumi??Kidatu ni jimbo la Mikumi, na Ni wilaya ya Kilosa. Ata Posta box zao ni Kidatu - Mikumi. Sasa kama Mpaka ni Mto maana yake Kiwanda na baadhi ya Mashamba yatakua Morogoro, Ila mashamba mengi yatakua Kilombero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, nimekuelewa. Ila naona Mkoa Kilombero utakua mkoa wenye barabara mbovu Kuliko mikoa yote ya Tanzania.Viwanda na hata Mashamba yamegawanyika. K1 iko wilaya ya Kilombero na K2 iko wilaya ya Kilosa. Unaposema Kidatu ni upande wa Kilombero wakati Ruaha / Nyamvisi, Kifinga /Kidodi /Ruhembe mpaka Mikumi ni upande wa Kilosa / Morogoro kwa tetesi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, kwahiyo kiwanda cha Kilombero si kipo kabla ujavuka mto, kwahiyo kitakua Mikumi - Kilosa?.Kidatu ipi hiyo ipo mikumi??
Talafa ya Kidatu inaanzia ukivuka mto wa ruaha (Mkamba) na ndipo inapoanzia wilaya ya kilombero.jimbo la mikumi linaishia kabla hujavuka mto ruaha..na ndipo inapoishia wilaya ya kilosa
Igawanywe kivipi? Mbona kama sio mkoa mkubwa sana?Tanga nayo inahitaji kugawanywa ili ardhi yake itumike vema na utajiri makubwa uliofichwa na wakoloni uweze kuwanufaisha watanzania wanyonge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni wilaya ya Mbingu, ambayo nadhani makao makuu yatakuwa Mlimba.wilaya ya mlimba mbona siioni hapo
Kiwanda mama cha K1 kipo kilombero (ukivuka mto) ila wanacho kingine kipo kilosa K2 (kabla ujavuka mto) Sukari yote inaandikwa inatoka Kilombero kidatu K1Sawa, kwahiyo kiwanda cha Kilombero si kipo kabla ujavuka mto, kwahiyo kitakua Mikumi - Kilosa?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni wilaya ya Mbingu, ambayo nadhani makao makuu yatakuwa Mlimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezeka kama itaachwa kam ilivyo maana lami itaishia ifakara..Lakin kuna mpango wa kutoboa barabara hadi songea pia na ile ya njombeSawa, nimekuelewa. Ila naona Mkoa Kilombero utakua mkoa wenye barabara mbovu Kuliko mikoa yote ya Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni busara sana kwani ukiangalia makao makuu ya mkoa hadi ufike Malinyi utaona kuna kilometa kama 800 na makao makuu yapo karibu na mkoa wa pwani na Malinyi ipo karibu na Mkoa wa Ruvuma Songea yaani ukifika huko na ukiambiwa ni bado uko Morogoro unashangaa mkoa ni mkubwa kama Urusi.
Wamechelewa Sana....Morogoro lilikuwa limkoa likubwa sana
Duru toka Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa zinatabanaisha kuwa Mkoa wa Morogoro huenda ukagawanywa na kuwa mikoa miwili kwa maana ya Mkoa wa Morogoro na Mkoa wa Kilombero.
Inasemekana makao makuu ya mkoa mpya wa Kilombero yatakuwa IFAKARA MJINI na utakuwa na wilaya nne nazo ni Wilaya ya ULANGA, wilaya ya MBINGU, Wilaya ya MALINYI na Wilaya ya IFAKARA.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.